Sheria inataka kufuta matokeo au kumpeleka mahakamani? Kwahiyo 2020 Lisu angejitangaza kuwa ndio mshindi wa uchaguzi, ungefutwa na kurudiwa?Yah mnafuta ili msije kumtangaza mungine kinyume na alivyojitangaza yeye, afu ikaja kuonekana kuwa kaonewa.
Ni vigumu kuielewa dunia, lakini kuelewa ulichoandika humu siyo kazi ngumu hata kidogo.Dunia ina mengi hii, kama haujui inavyokwenda hauwezi kuelewa.
Hapana Zanzibar wana sheria zao ambazo huku kwetu huwa hazifanyi kazi.Sheria inataka kufuta matokeo au kumpeleka mahakamani? Kwahiyo 2020 Lisu angejitangaza kuwa ndio mshindi wa uchaguzi, ungefutwa na kurudiwa?
Mahakama ipi boss kwa viongozi hawa hawa wanaopora chaguzi? Huku Bara ndio kuna ruhusa ya kujitangaza bila kuchukuliwa hatua? Una uhakika kuwa huko Zanzibar sheria inasema ukijitangaza mshindi uchaguzi unafutwa?Hapana Zanzibar wana sheria zao ambazo huku kwetu huwa hazifanyi kazi.
Nafikiri kama hilo swala lingekuwa sio la kisheria basi maalim angeenda mahakamani.
Uhakika sina maana mimi sio mfuatiliaji wa sheria zao. Ila kama muhusika hakwenda mahakamani basi huenda sheria hiyo ipo na ndio iliyombana yeye kuchukua hatua.Mahakama ipi boss kwa viongozi hawa hawa wanaopora chaguzi? Huku Bara ndio kuna ruhusa ya kujitangaza bila kuchukuliwa hatua? Una uhakika kuwa huko Zanzibar sheria inasema ukijitangaza mshindi uchaguzi unafutwa?
Huna ujualo halafu unaleta utetezi kwa jambo usilolielewa!Uhakika sina maana mimi sio mfuatiliaji wa sheria zao. Ila kama muhusika hakwenda mahakamani basi huenda sheria hiyo ipo na ndio iliyombana yeye kuchukua hatua.
Ilikuwa ni lazima nitange tange ili nipate chama chenye muelekeo mzuri.Kumbe umekuwa ukiizimia Chadema na kuionea wivu,ila sio kwa kutangatanga kwenye vyama vyote hivyo🏃🏃
Afadhali na wewe umeliona hili mkuu.Huo mkutano ndio ambao pia Lissu amezungumzia habari za nusu mkate na mengine...
Hoja hapa, hayo anayozungumza ameshawaambia wenzake chamani wakagoma kumsikiliza mpaka aende kuropoka barabarani?
Au tunakubaliana Chadema hakuna taratibu zozote, kila mwenye jambo lake anaruhusiwa kusema popote atapoamua?
Hii tabia ya kila kiongozi kujiamulia kuongea anachotaka popote ikiota mizizi itasababisha wale wanaosema Chadema ni kama kambale baba ndevu..watoto ndevu.. wapate hoja, lazima ikemewe mapema.
Mwenzako anawashambulia kwamba hawako makini ndio maana wanaburuzwa katika maridhiano afu wewe unakuja kusema eti chama kizima kimejaa viongozi makini!Si Mbowe tu, sema CDM nzima imeshiba viongozi wanaojitambua, Chama makini, viongozi makini, wanachama makini.
Ya inawezekana kuwa sasa hivi kila mtu ni kambale, lakini wakati wanaokotwa na kuletwa chamani walikuwa bado ndubwi ndomaana kila walichoambiwa wakati ule walifuata utaratibu wa chama...Ccm wana utaratibu wa kukabidhi akili zao kwa Mwenyekiti.
..Chadema kila mwanachama ni "kambale" na ana ruhusa ya kutoa mawazo na msimamo wake.