Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side.
Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana.
Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.
Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.