Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Sioni tatizo, mtu kutoka na mfanyakazi wake, kumuoa mfanyakazi wake. Kwani huko majuu ndio hakuna mabosi waliokula wafanyakazi wao!??

Hizo ni levels tu, kuna watu wanakula beki tatu za nyumbani kwao mpaka mimba au kuoa kabisa😂
 
Haya mambo hutakiwi kuyasema mbele ya jamii inayowaza kut.ombana kama sehemu ya mafanikio. Jamii ambayo mtu anawaza atafute hela ili awe na mademu wakali na awabadilishe kama nguo. Huo utaratibu uko nchi ambazo zishaachana na utapiamlo na uzinduzi wa vyoo vya misaada. Ukiishi sehemu watu hawana ustaarabu ukiwa kinyume nao inaonekana unajisikia au una kiherehere.

CEO wa McDonald's miaka michache nyuma hapo alifutwa kazi kwa kujihusisha na mahusiano na mfanyakazi wake. Hawakuishia hapo, walifanya uchunguzi na kugundua alijihusisha na wafanyakazi wengine watatu na alikuwa na kesi ya kujibu na hatimaye akirudisha kiasi fulani cha mamilioni aliyolipwa na kampuni. Ukitazama performance wise jamaa aliinyanyua sana brand ila hawakujali hilo.

Bill Clinton aliachiza ngazi ya urais wa Marekani kwa kesi ya kutoka kimapenzi na mmojawapo wa secretary wa White House, Monica Lewinsky.

Ukija bongo mambo ni tofauti kabisa. Degree za chupi, HR na wafanyakazi, mabosi na wafanyakazi, wachungaji na waumini. Fujo tu
 
Sioni tatizo, mtu kutoka na mfanyakazi wake, kumuoa mfanyakazi wake. Kwani huko majuu ndio hakuna mabosi waliokula wafanyakazi wao!??

Hizo ni levels tu, kuna watu wanakula beki tatu za nyumbani kwao mpaka mimba au kuoa kabisa[emoji23]
Bill gates alikuwa ana mmbato Melinda french(mfanyakazi wake) kimyakimya baadae akamuoa kabisa

Wakazaa watoto wa3

Kwa Sasa wametemana
 
Sioni tatizo, mtu kutoka na mfanyakazi wake, kumuoa mfanyakazi wake. Kwani huko majuu ndio hakuna mabosi waliokula wafanyakazi wao!??

Hizo ni levels tu, kuna watu wanakula beki tatu za nyumbani kwao mpaka mimba au kuoa kabisa😂
Huko majuu ndiyo mambo hayo hayakubaliki kabisa. Angalia kilichompata Harvey Weinstein. Wapingaji wanasema sijui woke/cancel culture, lakini ni vitu visivyokubalika. Mfano lecturer kutembea na wanafunzi wake nk. Yote ya kuwapa mimba mabeki tatu ni mambo yasiyokubalika kwenye jamii.
 
Haya mambo hutakiwi kuyasema mbele ya jamii inayowaza kut.ombana kama sehemu ya mafanikio. Jamii ambayo mtu anawaza atafute hela ili awe na mademu wakali na awabadilishe kama nguo. Huo utaratibu uko nchi ambazo zishaachana na utapiamlo na uzinduzi wa vyoo vya misaada. Ukiishi sehemu watu hawana ustaarabu ukiwa kinyume nao inaonekana unajisikia au una kiherehere.

CEO wa Mcdonald miaka michache nyuma hapo alifutwa kazi kwa kujihusisha na mahusiano na mfanyakazi wake. Hawakuishia hapo, walifanya uchunguzi na kugundua alijihusisha na wafanyakazi wengine watatu na alikuwa na kesi ya kujibu na hatimaye akirudisha kiasi fulani cha mamilioni aliyolipwa na kampuni. Ukitazama performance wise jamaa aliinyanyua sana brand ila hawakujali hilo.

Bill Clinton aliachiza ngazi ya urais wa Marekani kwa kesi ya kutoka kimapenzi na mmojawapo wa secretary wa White House, Monica Lewinsky.

Ukija bongo mambo ni tofauti kabisa. Degree za chupi, HR na wafanyakazi, mabosi na wafanyakazi, wachungaji na waumini. Fujo tu
Inasikitisha sana. Ni kama bado tupo miaka mia kadhaa nyuma. Barbarians. Miaka ya sitini muanzilishi wa Nike alikuwa lecturer, alikuwa anadate na mwanafunzi wake. Jambo hilo lilikuwa linaangaliwa vibaya sana chuoni pake. Akafanya haraka kufunga naye ndoa. Hii ni miaka ya sitini huko. Lakini bongo leo huko vyuoni ni kama malecturer walisoma ili wapate mademu, inawezekana kweli sex kwa wabongo ni mafanikio.
 
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.

Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
Hatimaye mmeanza kufukua makaburi...
 
THT pale katembea na mabinti kibao. Na wengine kazaa nao kabisaa

Clouds pia ametembea na wafanyakazi wake.

Ruge alikuwa anatumia cheo chake kutembea na wafanyakazi wake
Ni ujinga wao/makubaliano yao, wote aliotembea nao hawakuwa watoto, mabinti wana hulka ya kupenda vikubwa, marehemu naye alikuwa binadamu kama ulivyo wewe kwan shida iko wapi akipendana na wadada?
 
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.

Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
Ruge ni pedophilia.Ingekuwa sehemu kama marekani now bado kesi ingekuwa inaunguruma huku yeye yuko mchangani.Kuna "kidemu" kidogo kinaitwa Caby,assume wakati Ruge ana kila mpaka anazaa nacho kilikuwa na umri gani?

Screenshot_20220717-181604_Instagram.jpg
Screenshot_20220717-181334_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom