Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Haya mambo hutakiwi kuyasema mbele ya jamii inayowaza kut.ombana kama sehemu ya mafanikio. Jamii ambayo mtu anawaza atafute hela ili awe na mademu wakali na awabadilishe kama nguo. Huo utaratibu uko nchi ambazo z
Upo sawa lakini Bill Clinton hakuachia ngazi alikamilisha miaka yake 8 na hii ni baada ya impeachment kufeli.
 
Ruge ni pedophilia.Ingekuwa sehemu kama marekani now bado kesi ingekuwa inaunguruma huku yeye yuko mchangani.Kuna "kidemu" kidogo kinaitwa Caby,assume wakati Ruge ana kila mpaka anazaa nacho kilikuwa na umri gani?

View attachment 2294370View attachment 2294371
Aisee!! Bahati mbaya Jamii yetu hata bado haioni kuwa pedophilia ni kitu kibaya. Fikiria Kanumba alivyoanza kutembea na Lulu!?
 
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.

Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
He suppressed musicians and fir skirt wearers, he didn't spare any, and under duress! He was a cannibal and Dudubaya was frank enough to open Ruges skeleton cupboard, and no wonder government had no case against him! Diamond is only one of few with human heart!
 
Sioni tatizo, mtu kutoka na mfanyakazi wake, kumuoa mfanyakazi wake. Kwani huko majuu ndio hakuna mabosi waliokula wafanyakazi wao!??

Hizo ni levels tu, kuna watu wanakula beki tatu za nyumbani kwao mpaka mimba au kuoa kabisa😂
Kwa ulaya hiyo ni kashfa kubwa sana,wazungu hawana ujinga kwa maadili bosi wa CNN alikuwa anakula staff wake ikamcost
Waziri mkuu wa England kajiuzulu kwa kosa ambalo bongo tungeona ni la kawaida
 
Huko majuu ndiyo mambo hayo hayakubaliki kabisa. Angalia kilichompata Harvey Weinstein. Wapingaji wanasema sijui woke/cancel culture, lakini ni vitu visivyokubalika. Mfano lecturer kutembea na wanafunzi wake nk. Yote ya kuwapa mimba mabeki tatu ni mambo yasiyokubalika kwenye jamii.
Hayakubaliki wapi wakati musk juzi juzi tu hapa mfanyakazi wake wa kwenye kampuni ya neuro link kamzalia mtoto
 
Kwa ulaya hiyo ni kashfa kubwa sana,wazungu hawana ujinga kwa maadili bosi wa CNN alikuwa anakula staff wake ikamcost
Waziri mkuu wa England kajiuzulu kwa kosa ambalo bongo tungeona ni la kawaida
Labda kwa wanasiasa si watu binafsi Musk 2 weeks ago mfanyakazi wake wa kampuni ya neuro link kamzalia mtoto
 
Mzee, acha hiyo mambo; wabongo wameshaanza kubobea "kupambana na waliotangulia", unataka kuanzisha jipya kabla hawajamalizana na lililopo?

Nandy alikuwa kama ka-hiace hivi kalikojaa kabla ya Nenga, kisha Nenga kuwekwa pembeni kupisha wenye KISU, kisha kurudishwa kama MTUMISHI(si hana kitu) sasa.

Mwenye makosa ni yule aliyekutwa na nyama sio? Ila ni ashki zao pia kwakuwa yeye hakuwa akiwabaka au kwamba ndo amewabikiri kwamba ndo aliwatumbukiza kwenye hiyo kadhia.
Hata mabosi wanaowataka mademu wanaoomba kazi sio kwamba hao mademu wanakuwa mabikira, ila Ni kitendo kibaya.
 
Ukifatilia maisha ya watu sana utapishana na maisha yako,
So lengo lako ni lipi kuanzisha huu Uzi?????
Mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wasafi sana
Ukifatilia maisha ya watu sana utapishana na maisha yako,
So lengo lako ni lipi kuanzisha huu Uzi?????
Mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wasafi sana
Kila mtu ana uchafu wake. Ila uchafu wako ukiuweka wazi lazima watu watasema hata ukiwa marehemu. Hakuna malaika hapa.
 
Aliyetoka nae,ameishalalamika?sasa pikipili za shamba zakuwashia nini?,ulitaka ubanduliwe wewe?haya ya kusema watu wakati hawapo,hayana maana,wewe umefsnya nini kwenye jamii mpaka hapo ulipo,zaidi ya kutafuta ugari wako tu?hao unaofikili walinyanyaswa kingono,walishawahi kulalamika kwenye vyombo vya sheria,wewe unawashwa na nini?
Duuh! Nikajua wewe ndiye Ruge mwenyewe. Ndio nakumbuka jamaa marehemu Sasa.
 
Watanzania wangapi katika nafasi zao na kwa kutumia nafasi hizo wanakulana na walio chini yao.Kama haujawahi kuwa katika nafasi za juu popote unaweza kuongea mengi. Achana kabisa na suala la cheo na fedha mfukoni, ukiweza kujihimili wewe ni mwingine na ni Mungu amekusaidia. mcheki nabii Daudi, mcheki Clinton, mcheki Tyson, fuatilia ishu ya Samsoni ndo utajua.Kama demu wako ameliwa kuwa mpole tafuta mwingine
Kama dada yako au Mama yako kaliwa , utatafuta mwingine!? Nacheeeka Kama mazuri vile.
 
Ni ujinga wao/makubaliano yao, wote aliotembea nao hawakuwa watoto, mabinti wana hulka ya kupenda vikubwa, marehemu naye alikuwa binadamu kama ulivyo wewe kwan shida iko wapi akipendana na wadada?
Kama mabinti wana hulka , inashindikana vipi na huyo jamaa naye kuwa na hulka ya kuwala anaotaka kuwasaidia?
 
Upo sawa lakini Bill Clinton hakuachia ngazi alikamilisha miaka yake 8 na hii ni baada ya impeachment kufeli.
Clinton alikuwa impeached tazama vizuri kumbukumbu zako. Zoezi lilicheleweshwa kutokana na shambulizi la kigaidi ila impeachment ilitokea. Usihesabu miaka aliyokuwepo, ilifanyika amebakiza miezi michache amalize term
 
Inasikitisha sana. Ni kama bado tupo miaka mia kadhaa nyuma. Barbarians. Miaka ya sitini muanzilishi wa Nike alikuwa lecturer, alikuwa anadate na mwanafunzi wake. Jambo hilo lilikuwa linaangaliwa vibaya sana chuoni pake. Akafanya haraka kufunga naye ndoa. Hii ni miaka ya sitini huko. Lakini bongo leo huko vyuoni ni kama malecturer walisoma ili wapate mademu, inawezekana kweli sex kwa wabongo ni mafanikio.
Anold Schwarzenegger alimpa mimba beki tatu wake wakafanya iwe siri. Huyu kazaliwa hamjui baba ili walinde career yake ya uigizaji na politics. Miaka 13 baadae ndio Anold alikuja admit waziwazi na yenyewe ni kujilipua kwamba Joseph Baena ni mwanae (hatumii hata jina la baba).

Ingejulikana mapema ingevuruga mipango yake. Mkewe aliamuacha hapo hapo baada ya kujulishwa
Joseph-Baena-bodybuilder.png
 
HV hizi habari za marehemu alikuwa anatumia MBAAZI zina ukweli wowote?

Kama.n kwel basi nenga n zaid ya komando kipensi
Ila nyie waja jaman, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom