Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli! Na sio yeye tu, wasanii wote wabongo, hakuna aliye vizuri kiuchumi kama wanavyoaminisha umma, woooote!Nenga kwa sasa yuko vizuri kifedha.
Duuh Bill Clinton aliachia ngazi ya urais????????Haya mambo hutakiwi kuyasema mbele ya jamii inayowaza kut.ombana kama sehemu ya mafanikio. Jamii ambayo mtu anawaza atafute hela ili awe na mademu wakali na awabadilishe kama nguo. Huo utaratibu uko nchi ambazo zishaachana na utapiamlo na uzinduzi wa vyoo vya misaada. Ukiishi sehemu watu hawana ustaarabu ukiwa kinyume nao inaonekana unajisikia au una kiherehere.
CEO wa McDonald's miaka michache nyuma hapo alifutwa kazi kwa kujihusisha na mahusiano na mfanyakazi wake. Hawakuishia hapo, walifanya uchunguzi na kugundua alijihusisha na wafanyakazi wengine watatu na alikuwa na kesi ya kujibu na hatimaye akirudisha kiasi fulani cha mamilioni aliyolipwa na kampuni. Ukitazama performance wise jamaa aliinyanyua sana brand ila hawakujali hilo.
Bill Clinton aliachiza ngazi ya urais wa Marekani kwa kesi ya kutoka kimapenzi na mmojawapo wa secretary wa White House, Monica Lewinsky.
Ukija bongo mambo ni tofauti kabisa. Degree za chupi, HR na wafanyakazi, mabosi na wafanyakazi, wachungaji na waumini. Fujo tu
Nenga ni mfanyabiashara wa simu ambae kwasasa anafanya vizuriSio kweli! Na sio yeye tu, wasanii wote wabongo, hakuna aliye vizuri kiuchumi kama wanavyoaminisha umma, woooote!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wazungu ujinga mwingi sanaaMke wake alikuwa boya... Yani dogo anodi mtupu.. akasubiri miaka 13!??
Sasa unategemea nini kwenye kizazi hiki ambacho kila mtoto wa kike interest yake ni mwanaume mwenye mafanikio na hela.Kwa kuwa hao wanawake hawajalalamika, itoshe kusema walikubaliana na muhusika...
Ruge hakuwa na hatakuwa mtu wa kwanza kuwa na wanawake wengi...
Binadamu wamejawa na wivu mbaya sanaMaharusi inabidi muwe na roho za chuma maana walimwengu wamewakalia hapa.
Ongezea na Mwendazake, asemwe tu hamna namna, alaaah!Si kweli. Hitler, Iddi Amin, Bokassa nk nk wasisemwe. Kama hasemwi vibaya basi na vizuri asisemwe.
Ndio cha msingiKila mtu ale kuku wake.
Kuna time unakuga serious [emoji23][emoji23]Tukisema tuanze Kuchunguzana kwa kila Dhambi zetu huenda tukaja kugundua kuwa Wewe ndiyo una Dhambi nyingi na za Hatari kuliko hata hizi chache za huyu Marehemu Ruge Mutahaba.
Na Waswahili tuna tabia moja ya Kipumbavu ya kupenda Kuamini kila tunachokisikia na Kukariri Maisha. Kwa mfano wengi Wetu tunamuhukumu Marehemu Ruge kuwa alikuwa ni 'Mpenda Mbunye' kwakuwa tu tumekaririshwa kuwa Wahaya wanazipenda.
Na usichokijua tu ni kwamba 75% ya Mademu aliokuwa 'akiwabandua' walikuwa 'Wakimshobokea' Wenyewe hata kama hakuwa na haja nao na Mimi nilisifu na kupenda mno jinsi alivyokuwa 'akiwabandua' bila Huruma kwani ndicho walikuwa wakikitaka. Ukichezea Koki ni lazima Utalowa tu Kudadadeki.
Mwisho jifunze kuwa na Adabu za Kiafrika kuwa Mtu akishatangulia mbele za Haki huwa hatusemi tena mabaya yake bali huwa tunahubiri Mema na Mazuri yake ili Vizazi vilivyopo vijifunze.
Hukumu dhidi ya Mabaya / Mapungufu yake huwa tunamuachia Mwenyezi Mungu kwakuwa Yeye pekee ndiyo ajuaye ukubwa wa Dhambi zetu Sisi Wanadamu na pia atuadhibu ( atuhukumu ) kwa Kiwango gani.
Muda upi ninakuwa Kinyume chake?Kuna time unakuga serious [emoji23][emoji23]
Bill Clinton hakuachia ngazi kwenye ile skendo ya Lewinsky, Mkuu. Alikuwa impeached na House of Representatives lakini akawa acquitted na Senate, hivyo alimaliza mpaka mwisho alipomuachia Bush mwaka 2001.Bill Clinton aliachiza ngazi ya urais wa Marekani kwa kesi ya kutoka kimapenzi na mmojawapo wa secretary wa White House, Monica Lewinsky.
Asante mkuu. Sheria za Marekani ni ngumu kuzitafsiri na zile houses zao zinachanganya kwa kiasi fulani, hasa sheria za kodi ndio ngumu kulikoBill Clinton hakuachia ngazi kwenye ile skendo ya Lewinsky, Mkuu. Alikuwa impeached na House of Representatives lakini akawa acquitted na Senate, hivyo alimaliza mpaka mwisho alipomuachia Bush mwaka 2001.
Na tukio la Clinton na Lewinsky ni mfano wa undumilakuwili wa Jamii "iliyostaarabika". Katika kashfa ile Clinton alikuwa na watetezi wengi. Feminists wengi walimtetea Bill Clinton na kumuacha Monica. Mmoja wapo alikuwa ni wakubwa katika Feminists, Gloria Steinem.
Clinton alikuwa Feminist mwenzao, tena mwenye faida kwao. Alimchagua Ruth Bader Ginsburg, Liberal na Feminist, kuwa Justice wa SCOTUS.