Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.
Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
Kama alifikia level ya mpaka kumchumbia Nandy lengo lake lilikuwa zuri sioni ubaya wowote.Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.
Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
Aliyetoka nae, ameishalalamika? sasa pikipili za shamba zakuwashia nini?, ulitaka ubanduliwe wewe? haya ya kusema watu wakati hawapo, hayana maana,wewe umefsnya nini kwenye jamii mpaka hapo ulipo, zaidi ya kutafuta ugari wako tu? Hao unaofikili walinyanyaswa kingono,walishawahi kulalamika kwenye vyombo vya sheria, wewe unawashwa na nini?Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo yangekuwa skendo kubwa sana.
Katiko mambo aliyotuachia, ametuachia na hili lisilopaswa kufanywa.
Ni kweli...Kama alifikia level ya mpaka kumchumbia Nandy lengo lake lilikuwa zuri sioni ubaya wowote.
Huu sio uungwana na ni matumizi mabaya ya mamlaka.THT pale katembea na mabinti kibao. Na wengine kazaa nao kabisaa
Clouds pia ametembea na wafanyakazi wake.
Ruge alikuwa anatumia cheo chake kutembea na wafanyakazi wake
Watanzania wangapi katika nafasi zao na kwa kutumia nafasi hizo wanakulana na walio chini yao.Kama haujawahi kuwa katika nafasi za juu popote unaweza kuongea mengi. Achana kabisa na suala la cheo na fedha mfukoni, ukiweza kujihimili wewe ni mwingine na ni Mungu amekusaidia. mcheki nabii Daudi, mcheki Clinton, mcheki Tyson, fuatilia ishu ya Samsoni ndo utajua.Kama demu wako ameliwa kuwa mpole tafuta mwingineTHT pale katembea na mabinti kibao. Na wengine kazaa nao kabisaa
Clouds pia ametembea na wafanyakazi wake.
Ruge alikuwa anatumia cheo chake kutembea na wafanyakazi wake
kumbe ye mwenyeww mkewe kambakaUkifatilia maisha ya watu sana utapishana na maisha yako,
So lengo lako ni lipi kuanzisha huu Uzi?????
Mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wasafi sana
Si kweli. Hitler, Iddi Amin, Bokassa nk nk wasisemwe. Kama hasemwi vibaya basi na vizuri asisemwe.Nasikiaga marehemu hasemwi vibaya
Hili si la maisha ya watu. Ni ethics za kazi yoyote. Ni suala la kijamiiUkifatilia maisha ya watu sana utapishana na maisha yako,
So lengo lako ni lipi kuanzisha huu Uzi?????
Mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wasafi sana
Aliyetoka nae,ameishalalamika?sasa pikipili za shamba zakuwashia nini?,ulitaka ubanduliwe wewe?haya ya kusema watu wakati hawapo,hayana maana,wewe umefsnya nini kwenye jamii mpaka hapo ulipo,zaidi ya kutafuta ugari wako tu?hao unaofikili walinyanyaswa kingono,walishawahi kulalamika kwenye vyombo vya sheria,wewe unawashwa na nini?
Kwani kupima HIV ni bilioni ngapi mkuu?HV hizi habari za marehemu alikuwa anatumia MBAAZI zina ukweli wowote?
Kama.n kwel basi nenga n zaid ya komando kipensi
Suguuungoja nikasikilize anti-virus volume II tena nitarudi kuchangia.