Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

Kwa kuwa hao wanawake hawajalalamika, itoshe kusema walikubaliana na muhusika...

Ruge hakuwa na hatakuwa mtu wa kwanza kuwa na wanawake wengi...
 
Duuh Bill Clinton aliachia ngazi ya urais????????
 
Kama kuna aliyebakwa angesema tu kuwa jamaa amembaka ila kama sababu ilikuwa ni njaa zao basi marehemu aachwe atulie aliko.

Hakuna ambaye hajui kuwa bongo ukiwa na hela za kubadilishia mboga na ukawa na cheo au umaarufu mkubwa wanawake wenyewe ndio hukutega ili uwale.
 
Kwa kuwa hao wanawake hawajalalamika, itoshe kusema walikubaliana na muhusika...

Ruge hakuwa na hatakuwa mtu wa kwanza kuwa na wanawake wengi...
Sasa unategemea nini kwenye kizazi hiki ambacho kila mtoto wa kike interest yake ni mwanaume mwenye mafanikio na hela.
 
ETI KUMSEMA MAREHEMU NI VIBAYA!!!
KWAMBA MAREHEMU ANATAKIWA KUSEMWA VIZURI TU!!!??
 
Kuna time unakuga serious [emoji23][emoji23]
 
kwa kukurahisishia tu ni kuwa bwana ruge ametembea na kila mwanamke unaemuona anajishughurisha na mambo ya sanaa....mademu wazuri wote kuanzia bongo movie, watangazaji na wasanii hakuna ambae ruge hajapita nae...yule jamaa alikuwa ana kizizi haki vile nawaambia na enzi zake demu ambae atatongozwa na ruge ukimfuata hata na pesa hakubari sijui alikuwa anawapa nini...

kuna mwanamke mmoja maarufu kwenye msiba wa ruge, alilia sana ilimchukua siku tatu kumlilia ruge kwa wadhi kabisa....harafu huyu mwanamke alikuwa ni mke wa mtu...​
 
Naona wengi wanakomaa na Nengatronox,,,mbona Muongoza Njia alizalisha Mabinti kibao ikiwemo Mke wa DJ wa Nasib,,,Kuna Watu wanaletwa Dunia kuzichakata Mbususu halafu Kuna wale kula kwa macho,,,,amini kwamba ipo hiyo.
 
Bill Clinton aliachiza ngazi ya urais wa Marekani kwa kesi ya kutoka kimapenzi na mmojawapo wa secretary wa White House, Monica Lewinsky.
Bill Clinton hakuachia ngazi kwenye ile skendo ya Lewinsky, Mkuu. Alikuwa impeached na House of Representatives lakini akawa acquitted na Senate, hivyo alimaliza mpaka mwisho alipomuachia Bush mwaka 2001.

Na tukio la Clinton na Lewinsky ni mfano wa undumilakuwili wa Jamii "iliyostaarabika". Katika kashfa ile Clinton alikuwa na watetezi wengi. Feminists wengi walimtetea Bill Clinton na kumuacha Monica. Mmoja wapo alikuwa ni wakubwa katika Feminists, Gloria Steinem.

Clinton alikuwa Feminist mwenzao, tena mwenye faida kwao. Alimchagua Ruth Bader Ginsburg, Liberal na Feminist, kuwa Justice wa SCOTUS.
 
Asante mkuu. Sheria za Marekani ni ngumu kuzitafsiri na zile houses zao zinachanganya kwa kiasi fulani, hasa sheria za kodi ndio ngumu kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…