Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu


"Situmii kinga hata kama wanasema una virusi" Bugana - Bill Nenga
 
Yaani wabongo wakati mwingine unaweza kuta watu wanakujua zaidi yako mwenyewe, watu wamependana na kuoana waacheni waishi kwa nafasi zao, kuna wengine mpaka wanazeeka hakuna kuoa wala kuolewa lakini kutwa ndoa za watu midomoni ndiyo maana hambarikiwi!
 
Habari ya ndoa na watu kuoana imetoka wapi tena?
 
niliwahi waambia watu humu, ipo siku mtamuelewa 'dudu baya'
 
Ukifatilia maisha ya watu sana utapishana na maisha yako

So lengo lako ni lipi kuanzisha huu Uzi?

Mkiwa nyuma ya keyboard mnajifanya wasafi sana
Na Mungu atuhurumie tu kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…