Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

Ukikaa kwa makini naona wazungu na wa asia ndo wanaofanana ba ndani.. angalia trump mdomo wake angalia pia wa asia na manywele yao kisha tazama hao sokwe lips zao za chini utagundua wazungu ndo sokwe haswa
 
Nyani watabaki kuwa nyani na wanadamu watabaki kuwa wanadamu kwa sisi waafrika tumeishi na wanyama mbalimbali kwa miaka mingi hakuna hata kwa bahati mbaya tukaambiwa kuwa babu au bibi zetu walikuwa manyani, kutokana na elimu ya evolution Charles Darwin alipojiona anafanana na hao manyani nadhani ndiyo akaja na hiyo theory ya kuwa binadamu asili yake ni nyani.

Charles Darwin (1809–1882)​

 
Hiyo si historia ya mwanadamu kwa ujumla ?
Wazungu na Waasia sidhani kama wamewahi kukubaliana na hii theory ya kipuuzi ya Charles Darwin. Huu upuuzi tunao sisi Waafrika, tukiwemo sisi tunaoitwa Watanzania.

Ningekuwa Rais wa hii nchi ningefuta huu upuuzi kwenye somo la Historia, pamoja na zile za sababu za nje za kwa nini Bara la Afrika halijaendelea kama Bara la Ulaya.
 
Mimi katika vitu ambavyo nimeshindwa kuvielewa mpaka leo, ni ile theory ya kuwa dunia na ulimwengu ulianza from nothing. Ile theory ya big bang. Something came from nothing. dosho12 hii unaionaje?
 
Jana tu yaani , nilicheck ile movie ya ''No chain , no master'' ..Dah , nimetokwa na machozi ile part yule msichana mwenye mimba anavuliwa nguo , halafu tumbo lange linaingizwa kwenye shimo ili achapwe kwenye mgongo . kuna vigongo vingine kama ''2i years of slave '' na ''Emancipation'', kama ukiangalia unaweza kulia.

Nawachukua hao , jamaa kama ningekuwa Rais , nahisi mpaka sasa wasingekuwepo wala kukanyaga nchi yangu.
 
Mimi katika vitu ambavyo nimeshindwa kuvielewa mpaka leo, ni ile theory ya kuwa dunia na ulimwengu ulianza from nothing. Ile theory ya big bang. Something came from nothing. dosho12 hii unaionaje?
Hata mi siponayo asilimia mia kabisa, ile idea ya nothing ndo si elewe kabisa, yani big bang ilitokea wapi bila space
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…