Hata kikanisa kama Tz ni jambo kubwa.Kukutana na Papa Francisco ni jambo kubwa Sana ujue
Ni jambo kubwa na la kusikitisha, mtetea ulawiti kinyume na ukristoKukutana na Papa Francisco ni jambo kubwa Sana ujue
Akili dumavu, yaani zimesinyaaCCM karibia wote ni akili fupi
Ulilazimishwa kuchanja? πNi jambo kubwa na la kusikitisha, mtetea ulawiti kinyume na ukristo
Hiyo Bandari ni ya hao hao Vatican kama ulikuwa hujui ππAlikwenda kupiga picha,hata wewe ukipenda unaweza bila shida yoyote.Itoshe kusema Kayanza anataka kutusahauliusha mauzo ya Bandari kwa mkutano wa Papa na Mama.
Una ujinga johnπUlilazimishwa kuchanja? π
Mama kaenda Norway & Ethiopia kote huko kakutana na wakuu wa nchi.Nadhani umeshindwa kuelewa msingi wa bandiko langu.Ngongo utakiwa utambue kwamba, Papa si tu Mkuu wa Kanisa, bali pia ni Mkuu wa Taifa la Vatican ambalo watu wake ni waumini wote wa Roman Catholic duniani, ikiwemo Tanzania.
Sijaona ubaya kwa Pinda kwa sababu kazungumza jambo sahihi na mahali sahihi.
Acha kutafuta umaarufu!
Huu nao tayari Uzi?Du!! Lowasa alisema elimu!! elimu!!Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini.
Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican π»π¦ alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo ya maana sana.Blah blah .....
Mizengo Pinda Kayanza sisi waumini wa Kanisa Takatifu Catholic bado tunakumbuka mauzo ya Bandari zetu na dharau siku ya uwasilishwaji jinsi maAskofu wetu walivyodhalilishwa na lile pumbavu lisilo vaa viatu.
Ngongo kwasasa Arusha tayari kwa maandamano ya amani.
πKwamba jamaa ni bingwa wa kulia lia tangu tupate uhuru
Mama kaenda Norway & Ethiopia kote huko kakutana na wakuu wa nchi.Nadhani umeshindwa kuelewa msingi wa bandiko langu.
Pinda anataka kuwazuga waumini kwamba Maskofu wa Catholic walitoa waraka wa kupinga kuuza bandari zetu kwa waarabu ambayo sasa ni nyaraka rasmi ya Kanisa Catholic.
Kwamba huo waraka si lolote pengine Papa kakubaliana na uamuzi wa serekali ulikuwa sahihi dhidi ya waraka wa kanisa.
ππUna ujinga johnπ
Kwani Vatican ni Kanisa?Kwani hiyo Bandari ni mali ya Kanisa !.