Elections 2015 Katika Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA 2015, haya ndiyo yaliyoahidiwa

Mm nilimchagua Magufuli Kwa kuwa ilani ya CCM kimoja Wapo ilikuwa Ni kumpa elimu mtoto wa kike hata baada ya kuujifungua...lakini ilikuwa Ni utapeli mkubwa Na mijitu haina hata aibu imetulia....Rasmi siyapendi majitu ya hivi
Ndipo hapo imebidi nijikite kuangalia ilani yao je waliahidi kitu gani? Sasa nimebaki kuchanganyikiwa nikidani labda hawa wanaopinga maendeleo sio walioitangaza hii ilani au pengine waliiunga mkono kwa kulazimisha.
 
..tangu awamu ya 4 Tz imekuwa kinara na inaongoza kwa mapato ktk sekta ya utalii afrika mashariki.
Ausio!! Unapenda kubishana sana. Hakuna kitu kama hicho mpaka 2016-17 Kenya ilikuwa inaongoza.sjui kwa sasa
 
Ausio!! Unapenda kubishana sana. Hakuna kitu kama hicho mpaka 2016-17 Kenya ilikuwa inaongoza.sjui kwa sasa

..kwa hiyo tuliponunua ndege tu, tukawazidi kenya ktk mapato ya utalii!! Je,dreamliner imeanza lini safari za nje?
 
Ausio!! Unapenda kubishana sana. Hakuna kitu kama hicho mpaka 2016-17 Kenya ilikuwa inaongoza.sjui kwa sasa

..mwaka 2015 Kenya walipata $ 837 kutokana na utalii. Tanzania tulipata $ 1.9 billion.
 
Kuna Mahal popote niliposema tumewazid kenya???? Uwena akili hata ya kuunga doti ya point zangu

..Samahani.

..Nakiri kutokusoma vizuri post yako.

..hoja yangu ni kwamba Tz tuliongoza Afrika Mashariki kwa mapato ya utalii huku tukiwazidi Kenya na Rwanda wenye mashirika ya ndege.

..mwaka 2015 Kenya walipata usd 837 ktk sekta ya utalii, wakati Tz ilipata usd 1.9 billion.
 
..basi muwe wakweli kwamba mmenunua ndege na mnajua kuwa zitatuingizia hasara.

..mimi napendelea utaratibu ule ambapo tulikuwa tunapata faida ktk utalii bila ya kubeba mzigo wa hasara wa kuendesha shirika la ndege.
Ww hamna kitu unajua, achia wanaojua wafanye kazi. Kelele zenu za chura hazizuii tembo kunywa maji
 
Ww hamna kitu unajua, achia wanaojua wafanye kazi. Kelele zenu za chura hazizuii tembo kunywa maji

..Jpm alisema alishauriwa na Kagame kununua ndege. Sasa Kagame kaingia hasara mpaka imebidi ajisalimishe kwa Qatar kwa kuingia nao ubia.
 
Ok labda niwe clear! Before 2015 watalii wetu walikuwa wanakuja kwetu kupitia Nairobi ambako ndiko kwenye usafir wa ndege za uhakika. Huku kwetu wanakuja kutalii then waludi kenya. Then hotel za Kenya zinapata mapato,sie tunaambulia kuongoza kwenye mapato ya mbugani, ambako kwa mujibu wako tumekuwa tunaongoza. Kenya wakatumia nafasi hyo kubrand vivutio vyao had wakadai Kilimanjaro ipo kwao....ukisema unapinga ununuzi wa hzo ndege bas utuambie tuendelee kutumia Nairobi kama mlango wa utalii kwetu, coz watalii watatumia ndege za Kenya ambazo zinawafikisha Kenya direct Bila kupita vituo vingine. Tunaweza kuwazid Kenya kwa mapato ya utalii but mapato mengine ambayo sio ya utalii yakabaki kwao, ambayo may be ni mengi kuliko hayo ya utalii
 

..swali lako kuhusu Nairobi.

..30% ya watalii wetu wanapitia Nairobi.

..na most likely wanatembelea North Circuit.

..kwanini wanateremkia Nairobi badala ya Kilimanjaro?

..kwasababu Nairobi ni capital city na major bussiness city hivyo airport yao ni busy kuliko Kilimanjaro.

..sidhani kama Tz kununua ndege kunaweza kumaliza changamoto ya watalii wa North Circuit kutumia uwanja wa ndege wa Nairobi.

..hata utalii wa Lake Circuit utakapoanza kuchanganya upo uwezekano wa watalii kutua Entebe au Kigali na kuletwa Tz kwa ndege ndogo mpaka Chato Airport au kwa magari.

..The same kwa watalii wa Zanzibar. Wengi wanateremkia Dslaam kutokana na uwanja huo kuwa mkubwa na wenye kupokea ndege nyingi kuliko wa Zanzibar.

..kama nilivyokwambia mwanzo tumezizidi nchi zote za Afrika mashariki ktk mapato ya utalii. Kenya walikuwa wanatuzidi miaka ile ya Mwalimu Nyerere. Alipoingia Mzee Mwinyi Tz ilianza kuweka msisitizo ktk kuvutia watalii. Ushindi tulikuja kuupata wakati wa Mzee JK.
 

Umekwama sana mkuu. Kuna wakati kuwa Mpole Ni Hekima. So pup faida. Umeona wapi. Kuwa na subira ndo kazi yako Mwananchi. Umempa kiongozi madaraka mwachie wewe fanya kazi yako. Mbona akijenga hospitali. Akipitisha michango ya kujenga zahanati hamjirecordi. Siasa tu Hanna lolote. Hapo mnawaza mh wananchi Wataona anatimiza ilani. Otherwise kama angeboronga mngekaa kimya na kunywa nia.
 
Ubia ni moja ya option baadae.
But ilikuwa muhimu kuwa nazo kwanza..
Ili hata ukiweka mwekezaji mwingine una cha kusimamia.
 
Tunachoona hasara inapungua kuelekea Break Even Point.

Otherwise kutakuwa na better options baadae

Tunaungana na chadema kufufua ATCL ilikiwa muhimu.
..Na nyinyi mnaunga mkono manunuzi ya ndege haijalishi kama atcl itaendeshwa kwa hasara kwa muda mrefu.
 
possibly hata wewe una ugonjwa wa kumpinga JPM hata kwa zuri analofanya.

Same level ya insanity[emoji12]
 
investing vs consuming

Unahitaji income kutoka kwenye investment ili utoe huduma ili kuepuka wazungu kutusambazia maji.

watoto hakuna ubwabwa mwezi mzima baba ananunua bajaji ili tujikomboe kiuchumi
Uende mbali think wide! huwezi kufanya hayo yote wakati wananchi hawana maji, you have to srike the balance. There is no striking balance with Jiwe!
 
maendeleo ya watu... elimu bure.. watu mikopo vyuo vikuu.... vituo vya Afya na Hospitali.. watu Barabara kuuza mazao na kuwahi hospitali za rufaa

wachu tokin about?[emoji12]
 
Ndege zinaingiza faida.. ila ni hasara kutokana na ukubwa wa investment na uendeshaji. Faida inapunguza hasara na tunaelekea kwenye Break Even Point.

Mkisikia hasara mnageuza agenda bila kuelewa...

Tesla motors inapata hasara miaka yote but they know wanaelekea wapi
..basi muwe wakweli kwamba mmenunua ndege na mnajua kuwa zitatuingizia hasara.

..mimi napendelea utaratibu ule ambapo tulikuwa tunapata faida ktk utalii bila ya kubeba mzigo wa hasara wa kuendesha shirika la ndege.
 
from ndege to demokrasia...
maongezi ya vilabu vya ulanzi[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…