Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao.
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au ramadhani?
Mungu Ibariki Tanzania
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au ramadhani?
Mungu Ibariki Tanzania


