Mtukane huyoooooWanaruhusiwa ndiyo hata wafungwa pia wanaruhusiwa
Ila mimi Nina swali kwani wewe ni nani kwenye hii dunia mbona huwa unafurahia sana wengine wanavyopitia kwenye shida au changamoto???
Kwani mamaenu anasemaje?Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao.
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au ramadhani?
Mungu Ibariki Tanzania
umeeleza vyema,Wanaruhusiwa ndiyo hata wafungwa pia wanaruhusiwa
Ila mimi Nina swali kwani wewe ni nani kwenye hii dunia mbona huwa unafurahia sana wengine wanavyopitia kwenye shida au changamoto???