Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Nikisema tatizo la wakristo hasa tec ni ushoga nitakua nakosea sana maana sio tec wote wanaounga mkono huo ujinga,so unatukosea sana waislam unapotujumlisha waislam wote na ujingaTatizo la waislamu ni ujinga wa akili....
Ona hoja aliyoleta mtoa uzi....
Sawa mkuu niwie radhi kwa maneno yangu....!!!KWA NIABA YA WENGINE NIWATAKE RADHI!!!!HATA TATIZO LA WAISLAMU WAARABU WENGI MASHOGA ILA SIO WAISLAMU WAARABU WOTE WANAPENDA USHOGANikisema tatizo la wakristo hasa tec ni ushoga nitakua nakosea sana maana sio tec wote wanaounga mkono huo ujinga,so unatukosea sana waislam unapotujumlisha waislam wote na ujinga
🤣🤣🤣Yaani Hawa,wanafikiria Hali walionayo imesababishwa na wakristo,kila siku kulua Lia tuWAISLAMU BHANA MKIKOSA HOJA MNAONGEA UPUUZI...
NDIO MAANA CROWN PRINCE WA SAUDI ARABIA ALIWACHANA UKWELI...
Kwani mabeki 3 wanaopelekwa Saudia kuna Wagalatia?Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
AsikilizweMtoa mada una hoja hutakiwi kupuuzwa kabisaaaa...!!
Unaongea kama unajua kitu.Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.NDIO MAANA NASEMA WAISLAMU WA MSKITI WA MTAMBANI HAWANA AKILI...
WANADHANI SIE WOTE WAJINGA
NYIE NDIO WAJINGA NA NDIO MAANA WAYAHUDI NA MUNGU WAO YEHOVA WANAVYOWANYOOSHA...SINCE 1948Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.
Jiangalie tu kwenye kioo utaona ujinga wako tu.
Kila sehemu unasema Waislamu wajinga wakati wewe mwenyewe ni jinga kubwa na miwani yako utadhani fenesi.
Ni bora tu ujiue mbona chuki zako zitaacha wakuue kabla hujajiua mwenyewe.
Uncivilised!
SASA KATI YA WAARABU WAISLAMU NA WAYAHUDI NANI MPUMBAVU NA ANAPOKEA KICHAPO DAILY?????Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.
Jiangalie tu kwenye kioo utaona ujinga wako tu.
Kila sehemu unasema Waislamu wajinga wakati wewe mwenyewe ni jinga kubwa na miwani yako utadhani fenesi.
Ni bora tu ujiue mbona chuki zako zitaacha wakuue kabla hujajiua mwenyewe.
Uncivilised!
Leta ushahidi kama kuna mazayuni yaliokua yanakaa pale kabla ya huo mwaka 1948Pale hawajapelekwa, wameenda wenyewe kuungana na ambao hawakuwahi kuondoka hapo.
Nimeandika humu kuhusu hilo, jisomee:Nadhani hamas kuna siri wanaijua ndiyo maana wakawaua...
Yani kuna ka kitu bado tunafichwa, na ukizingatia siyo mamlaka ya palestina, israel au tanzania waliolaani hiko kitendo mpaka sasa, basi ndo ujue kuna namna hapa..
Mazayuni wote ni wahamiaji tu hapo baada ya 1948, hata DNA zao haziendani kabisa na Wayahudi waliokuwepo nchi za Kiarabu kabla ya 1948 wanaoitwa "mezrahi".Pale hawajapelekwa, wameenda wenyewe kuungana na ambao hawakuwahi kuondoka hapo.
Kwanini Hamas haijaua Wapalestina zaidi ya laki moja waliokuwa Israel siku ya tukio? Maana unalazimisha kuuliza mbona Hamas haijaua wapitanjia.Sasa hoja uafrika au ukafiri maana ukafiri utaujua kwakuuangali uso wa mtu
Hoja yako ipi?
Hakuna sehem nimelazimisha nimeulizaKwanini Hamas haijaua Wapalestina zaidi ya laki moja waliokuwa Israel siku ya tukio? Maana unalazimisha kuuliza mbona Hamas haijaua wapitanjia.
Sababu zilezile zilizofanya Wapalestina zaidi ya laki wasiuwawe, ndio hizohizo zimefanya wapitanjia wasiuwawe. Dini ileile, race ileile
Narudia kukuuliza mkuu, kulikuwepo na Wapalestina zaidi ya laki moja Israel, kwanini Hamas hawakuuwa Wapalestina waliokuwa Israel maeneo yaleyale waliyovamia siku ya tarehe 7 Oktoba?Hakuna sehem nimelazimisha nimeuliza
Hamas wamemuua mollel kama mnavyodai kuthibitisha kua wale hamas mmeshindwa
Wale wenginewalokua wanapita njia wa dini ile dini ipi au umejuaje kama wa dini ile
Kama race hata race ile ile pia aliwahi tekwa na hamas na kwenye kuachia mateka nae akaachiwa
Sasa hoja yako bado sijaielewa kabisaa
Najua baada ya uthibitisho kwamba israhell wameamua mollel kuja hadharani mtakuja hapa na masuala ya collateral damage