Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Nikisema tatizo la wakristo hasa tec ni ushoga nitakua nakosea sana maana sio tec wote wanaounga mkono huo ujinga,so unatukosea sana waislam unapotujumlisha waislam wote na ujinga
Sawa mkuu niwie radhi kwa maneno yangu....!!!KWA NIABA YA WENGINE NIWATAKE RADHI!!!!HATA TATIZO LA WAISLAMU WAARABU WENGI MASHOGA ILA SIO WAISLAMU WAARABU WOTE WANAPENDA USHOGA
Lakini asilimia kubwa ya hawa wafidhina ni wajinga na wanafiki wa historia
 
Mkuu hayo ni mashaka yako tu na ni aina ya fikra zako zimekupelekea uwaze hivyo.
Kwanini ni kwasababu...

=>Wanafunzi wa Chuo kikuu cha kilimo (SUA) hawajaanza kwenda Israel mwaka huku kila mwaka yanaenda makundi yasiyopungua Wanafunzi 150.

=>Sio Tanzania pekee ndio hua inapeleka Wanafunzi Israel kuna nchi nyingi sana za kiafrica na kiassia, tena hizo nchi zinapeleka makundi yenye idadi kubwa ya Wanafunzi ukilinganisha na Tanzania. Mfano India, Nepal, hata wa palestrina wenyewe.

=>Internship hua haizidi mwaka mmoja baada ya hapo wanageuka makwao.
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Kwani mabeki 3 wanaopelekwa Saudia kuna Wagalatia?
 
Tupewe orodha ya majina yao wote walioenda kusoma israeli lakini majina tu haitoshi tupate na uthibitisho wa dini zao. Umeongea kitu cha msingi sana serikali zetu za kiafrika tunafanya mambo kienyeji hatujui kumbe tupo vitani. Huu ni mgogoro wa kidiplomasia.
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
Unaongea kama unajua kitu.
 
NDIO MAANA NASEMA WAISLAMU WA MSKITI WA MTAMBANI HAWANA AKILI...
WANADHANI SIE WOTE WAJINGA
Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.
Jiangalie tu kwenye kioo utaona ujinga wako tu.
Kila sehemu unasema Waislamu wajinga wakati wewe mwenyewe ni jinga kubwa na miwani yako utadhani fenesi.
Ni bora tu ujiue mbona chuki zako zitaacha wakuue kabla hujajiua mwenyewe.
Uncivilised!
 
NYIE NDIO WAJINGA NA NDIO MAANA WAYAHUDI NA MUNGU WAO YEHOVA WANAVYOWANYOOSHA...SINCE 1948
NB: TANGU LINI UKAONA WATU WANAOABUDU MIUNGU YA KIARABU WAKAWA NA AKILI....MMEJAA UNAFIKI WA KIHISTORIA DHIDI YA WAYAHUDI NA HAMNA HOJA ZAIDI YA HADITHI ZA KUTUNGA NA HUSDA
 
Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.
Jiangalie tu kwenye kioo utaona ujinga wako tu.
Kila sehemu unasema Waislamu wajinga wakati wewe mwenyewe ni jinga kubwa na miwani yako utadhani fenesi.
Ni bora tu ujiue mbona chuki zako zitaacha wakuue kabla hujajiua mwenyewe.
Uncivilised!
SASA KATI YA WAARABU WAISLAMU NA WAYAHUDI NANI MPUMBAVU NA ANAPOKEA KICHAPO DAILY?????
NGONJERA NYINGI VITENDO ZERO
 
Nadhani hamas kuna siri wanaijua ndiyo maana wakawaua...

Yani kuna ka kitu bado tunafichwa, na ukizingatia siyo mamlaka ya palestina, israel au tanzania waliolaani hiko kitendo mpaka sasa, basi ndo ujue kuna namna hapa..
Nimeandika humu kuhusu hilo, jisomee:

Pale hawajapelekwa, wameenda wenyewe kuungana na ambao hawakuwahi kuondoka hapo.
Mazayuni wote ni wahamiaji tu hapo baada ya 1948, hata DNA zao haziendani kabisa na Wayahudi waliokuwepo nchi za Kiarabu kabla ya 1948 wanaoitwa "mezrahi".

Hao wakupelekwa tu pale wanaitwa "ashkenazi" ndiyo kina netanyahu hao, hawana kabisa asili ya nchi za Kiarabu.

Kumbuka kuwa mezrahi walikuwepo vikundi vikundi vinavyoishi kiukoo middle east yote, hao hawana kabisa matatizo na waarabu isipokuwa sasa wanajazwa fitna na ashkenazi lakini hata hivyo wanapinga kabisa hii vita ya kijinga iliyotarishwa na Wamarekani ili waendelee kushika utajiri wa maguta uliopo mashariki ya kati.
 
Sasa hoja uafrika au ukafiri maana ukafiri utaujua kwakuuangali uso wa mtu
Hoja yako ipi?
Kwanini Hamas haijaua Wapalestina zaidi ya laki moja waliokuwa Israel siku ya tukio? Maana unalazimisha kuuliza mbona Hamas haijaua wapitanjia.

Sababu zilezile zilizofanya Wapalestina zaidi ya laki wasiuwawe, ndio hizohizo zimefanya wapitanjia wasiuwawe. Dini ileile, race ileile
 
Hakuna sehem nimelazimisha nimeuliza
Hamas wamemuua mollel kama mnavyodai kuthibitisha kua wale hamas mmeshindwa
Wale wenginewalokua wanapita njia wa dini ile dini ipi au umejuaje kama wa dini ile
Kama race hata race ile ile pia aliwahi tekwa na hamas na kwenye kuachia mateka nae akaachiwa
Sasa hoja yako bado sijaielewa kabisaa
Najua baada ya uthibitisho kwamba israhell wameamua mollel kuja hadharani mtakuja hapa na masuala ya collateral damage
 
Toka lini wafuasi wa mud wakawa na mwamko wa kusoma elimu dunia zaidi ya kujifunza kutengeneza mabomu, kulipuana na kwenda kumpiga shetani mawe..Rubbish kabsa
 
Hakuna sehem nimelazimisha nimeuliza
Hamas wamemuua mollel kama mnavyodai kuthibitisha kua wale hamas mmeshindwa
Wale wenginewalokua wanapita njia wa dini ile dini ipi au umejuaje kama wa dini ile
Kama race hata race ile ile pia aliwahi tekwa na hamas na kwenye kuachia mateka nae akaachiwa
Sasa hoja yako bado sijaielewa kabisaa
Najua baada ya uthibitisho kwamba israhell wameamua mollel kuja hadharani mtakuja hapa na masuala ya collateral damage
Narudia kukuuliza mkuu, kulikuwepo na Wapalestina zaidi ya laki moja Israel, kwanini Hamas hawakuuwa Wapalestina waliokuwa Israel maeneo yaleyale waliyovamia siku ya tarehe 7 Oktoba?

Mbona hujibu hili swali
 
Back
Top Bottom