hoja ya mleta mada unaiunga mkono ? tuanzie hapo ili tujue akili zako piaUkitaka kuwa majnun hebu wasikilize watu wa aina yako, Wewe ni zao la wazazi walioshindwa malezi madhara yake ndio wametujazia hizi takataka hapa
nchini. Naamini katika mizigo kwenye familia yenu wewe ni miongoni mwao.
Swali zuri sana, wamepimwa mpaka serikali iliyopo sasa israel imepiga marufuku wasipimwe, kwa kuwa wote wanaonekana hawana asili ya hapo:lin mliwapima DNA ?
kwan ana huanza mshambulia mwenzake? je kwann unataka anaeshambuliwa ndo ashinde vita ?Kwahiyo mtu anayepigwa tangu mwaka 1948 mpaka leo bado hajakoma? Mmebeba mifuvu tu ya kufugia nywele hata hamtaki kujifunza.
Tangu hao watu wavamie hilo eneo mbona hawajashinda hiyo vita na kuwafuta hao kina HAMAS? Rudi hata kwenye mafunzo ya kipaimara utajua vizur haya mengine hujui ndio maana akili zako ndogo zinakutuma kujiua tu.
ww ni hamnazo[emoji1787] Sa umefahamu vipi kama sijui kuandika, we ndio unajua kuandika.
Na huwa wanawapa dawa za kutozaa ili wasichafue damu zaoYule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
Ni kweli una hoja nzito ila na mimi ninalo la kuchangia.Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Huu utetezi wa kidini ni utumwa kama utumwa mwinginemnapambana kuhararisha kifo cha mtz mwenzio , wajukuu wakija yaona haya watalia sana , babu zao wavaa kanzu walikuwa wajinga sana
Tanzania hatuulizani dini uingiapo chuoni, kazini au katika uongozi.Tupewe orodha ya majina yao wote walioenda kusoma israeli lakini majina tu haitoshi tupate na uthibitisho wa dini zao. Umeongea kitu cha msingi sana serikali zetu za kiafrika tunafanya mambo kienyeji hatujui kumbe tupo vitani. Huu ni mgogoro wa kidiplomasia.
Hata Israel mkuu Waislamu wanaenda kibao tu.Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Wengine hawajui hata kwamba kwamba Israel waislamu ni wengi zaidi kuliko Christians.Mimi ni muislam na nishafika israel,wafia dini wa kiafrika tena wa dini zote 2 wapo wrong 100% kwa jinsi wanaichukulia israel kwenye masuala ya dini ya zao
Vichaa si wanajuana πww ni hamnazo
Ww mpumbavu una kipi cha maana mpaka kuwaita waislam wajinga,au kuruhusiwa kuowana wanaune kwa wanaune ndio ujanja sio?NDIO MAANA NAWAONA WAISLAMU WAJINGA...
PALE ALIPOKUFA DOGO MOLELL ETI WANAPAITA GAZA......
UJINGA WA WAISLAMU UNAONEKANA WAZI WAZI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Israel uislam ndio dini inayofuata baada ya jewish,na uislam na jewish zinafanana 90%,waafrika tunavyoifikiria israel kwenye suala la kidini tofauti kabisaWengine hawajui hata kwamba kwamba Israel waislamu ni wengi zaidi kuliko Christians.
Wakristo ni kama 2% ya population yote huku Waislamu ni kama 18%.Kwahiyo hawakua na uhasama kiivyo na Waislamu maana wanachangamana nao sana kule kwao.
LABDA BAADA YA HII KADHIA WALIYOWASABABISHIA SASA WATAANZA KUWA NAO MAKINI.
mnapambana kuhararisha kifo cha mtz mwenzio , wajukuu wakija yaona haya watalia sana , babu zao wavaa kanzu walikuwa wajinga sana
π π π π huwa najiulizaga wana ubongo au niniWAISLAMU BHANA MKIKOSA HOJA MNAONGEA UPUUZI...
NDIO MAANA CROWN PRINCE WA SAUDI ARABIA ALIWACHANA UKWELI...
Ukisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Si ni nyinyi kwa nyinyiNilidhani umeiona orodha, kumbe hujui na unaleta stori za kudhanika na kusadikika.
WaTz kusoma kilimo Israel hawajaanza leo wala Jana. Nna bro alisoma Irrigation SUA l akaenda Israel miaka ya 2016 huko kusoma green houses akamaliza...saiv yupo USA anapiga mpunga. Na ni mwislam
Kuna vitu vidogo serikali haikai kimya anakuja waziri anatoa takwimu na kuweka sawa mambo.Huyo alikutwa camp ya jeshi na mpa mda hu siamini kauliwa na Hamasi, askari wa Hamasi hawauwi mateka hata siku moja.
Siku za mbele mtasikia Israel ndio alimuwa wala si Hamasi.
Afu mtoa mada unapoint vipi wale wote wakristo ndio wamenda kosemeshwa Israel, kama hakuna siri hapo nyuma ya pazia inatakiwa serekali ifatilie na ichunguze nani aliye watuma kusoma huko? Je ni serekali au wenyewe? Kama wenyewe hao lazima walitumwa kujiunga na jeshi la Israel.
Naomba serekali ya Tanzania ifatilie hi point ni muhimu sana, na mtoa mada wewe akili zako ni π―
Kama mtu ni kilaza unataka aende kwenye exchange program kufanya nini.Ukisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.
Umemaanisha nini hapa. Unaweza fafanuaHali hiyo ipo kwenye chaguzi za kitaifa mpaka za vyuoni.Kwani waislamu hawaombi kwenye vyuo vikuu vya wakristo mbona hawachaguliwi mpaka waishiwe na watu na bajeti zikae songombingo.
Wewe hapo ukipewa nafasi ya kwenda Israel na serikali yao, kufanya kibarua au kazi utaenda?Zamani wakati wa kabla ya waziri wa elimu Kigoma Malima uchaguzi wa wanafunzi ulifanywa kibaguzi kwa hali ya juu sana kwa kuangalia majino yao tu
Tulete list ya walioenda Israel mwaka jana tuone kama hamna Waislamu?Kwenda Israel kama kweli kuna neema hawachaguliwi waislamu na kama kuna ajenda za kijeshi pia hawachaguliwi.