Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Koka moto babu πHayo mambo nawezea wapi Kwa Uzee huu Mkuuπ€
Babu yenu umri umenitupa Mkono, nimebaki kucheza na Wajukuu tu huku Kijijini π
Acha roho ya choyo, wasabato sio wachoyo hivyonafunga sio mda
Mkuu kama ni online bas yupo nkiona tu kalike bas naondoka kimya kimya kwenye huo Uzi naangalia anavointeract na wadau mi nakua nashusha pumziπSina namnaSi umtaje tu ni Ms R
Uje na mabegi yakoπivi nyie nini lakin ππ
Kwenyee niniiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuogopa kupita kwenye naniiii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nakuweka mahali salama hutaki, utajajutia nafasi ni chache wenzio wanamlilia huyo na hawapati hata nafasi ya kuchatishwa.ivi nishawah kukukosea nkuombe msamaha
Nakutumia Hela mkatie ticket ya tireni ya electricity nauli 30k tuYupo dodoma huyo, veyula
Kufanya ninUje na mabegi yakoπ
Na huo ndio ule upendo 1st class, grade One kabisa. Ms R Mungu akupe nini?Mkuu kama ni online bas yupo nkiona tu kalike bas naondoka kimya kimya kwenye huo Uzi naangalia anavointeract na wadau mi nakua nashusha pumziπSina namna
Half american tusomee andiko hilo1wathesalonike 5:16-18
yanini
Kulima parachichiKufanya nin
Sawa mkuu nitafanya kama ulivyoagiza.Nakutumia Hela mkatie ticket ya tireni ya electricity nauli 30k tu
πππMtoto wa kirangiNa huo ndio ule upendo 1st class, grade One kabisa. Ms R Mungu akupe nini?
kwani yeye anasemajeMimi nakuweka mahali salama hutaki, utajajutia nafasi ni chache wenzio wanamlilia huyo na hawapati hata nafasi ya kuchatishwa.
Kama kulima sitaki umlimishe Bora aje kwangu .Kulima parachichi
Njoo saiv magari ya usiku yapokwani yeye anasemaje
huku zipo nying sanaKulima parachichi
Nitasoma kama ilivyo andikwaHalf american tusomee andiko hilo
Huyo kaanza kutumia Gillette kabla ya 2015 afu aje hajui anakuja kufanyaje?Kama kulima sitaki umlimishe Bora aje kwangu .