Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Ok
 
Kwa wakazi wa Dar mke wako akishaanza safari za Bagamoyo, Kawe Tanganyika packers au Kimara Temboni na kote huko hamna ndugu wala jamaa ujue utaahira unamnyemelea na ujiandae kumpeleka Milembe
🤣🤣🤣Kuna nini huko mkuu
 
Back
Top Bottom