Katika maisha halisi, unaweza kutunza siri ukiteswa kisawa sawa kama tunavyoona kwenye filamu.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali

Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?

kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
 
Inategemea, kama kuna mazingira ya kutoka hai hata ukitoa siri , naweza toa , ila kama hakuna mazingira ya kutoka hai nikishazitoa hizo siri, nitaenda na hizo siri kaburini .

Mda mwingine siri ni guarantee ya uhai wako🤔
 
mtesaji akikuua kakuonea huruma sana au huna cha maana tena kwake

watafanya kila waliwezalo uwe hai huku ukitamani ufe
 
Inategemea

Kuna pahala ukisema hiyo siri ndio utapata wakati mgumu zaidi unaweza hata ukauliwa wakakufunga kwenye sandarus ukatupwa huko koko beach

ila kama sir tu ya kawaida haina uzito hauwezi kuisema
 
Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali

Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?

kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
Spoke moja tu ikichomekwa kwenye zakari hata haijafika robo utaongea yote
 
Back
Top Bottom