mtesaji akikuua kakuonea huruma sana au huna cha maana tena kwakeInategemea, kama kuna mazingira ya kutoka hai hata ukitoa siri , naweza toa , ila kama hakuna mazingira ya kutoka hai nikishazitoa hizo siri, nitaenda na hizo siri kaburini .
Mda mwingine siri ni guarantee ya uhai wako🤔
Bora ufe na siri kuliko kuzitoa halafu wakuue tenamtesaji akikuua kakuonea huruma sana au huna cha maana tena kwake
watafanya kila waliwezalo uwe hai huku ukitamani ufe
kuna ile mtesaji kaunganisha cibanio vya chuma kwenye soketi ya umeme au betri la gari, anavyozipasha huwa zinatoa cheche 🔥Kuna ile unaingizwa spoku ya moto kwenye kitundu Cha mkojo, mazee ukivumilia ile wewe ni marshal kabisa.
Mifano yako ni migumu sana brooDu! Kuna mateso mengine ukitishiwa tu unasema kila kitu. Fikiria wanataka kukuf*ra utafanyaje?
Kuna njia ya kijasusi ,mpaka uwe na siri lazima uwe mtu maalumu na kujihami , ndio maana Inasemekana majajusi walioshindwa kuvumilia mateso walipewa vidonge vya cyanide, wanavibana chini ya ulimi , mateso yakiwa makali wanavimeza wanakufa.
AiseeKuna njia ya kijasusi ,mpaka uwe na siri lazima uwe mtu maalumu na kujihami , ndio maana Inasemekana majajusi walioshindwa kuvumilia mateso walipewa vidonge vya cyanide, wanavibana chini ya ulimi , mateso yakiwa makali wanavimeza wanakufa.
NdioKatika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?
Spoke moja tu ikichomekwa kwenye zakari hata haijafika robo utaongea yoteKwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali
Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?
kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
Kawaida mateso yanafahamika hayo uliyoyataja sio mateso kuna upepo (baridi), mwanga, moto na maji ndio mateso makuukwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
Si utakua umezirai mkuu? Au ukizinduka wanaendelea walipo ishia😁 umenikumbusha riwaya za kijasusi za kina Patrick ck😁Spoke moja tu ikichomekwa kwenye zakari hata baijafika robo utaongea yote
Umeenikumbusha mbali sana mkuuSpoke moja tu ikichomekwa kwenye zakari hata baijafika robo utaongea yote
Haufi mkuu,ni mateso tu kwa ajili ya upelelezi,kabla ya kufikishwa mahakamani.imagine walio mkata kichwa yule Temba,,wamefanywaje mpaka wakasema kichwa kilipo?Bora ufe na siri kuliko kuzitoa halafu wakue tena