Hao wameona bora wafungwe tu, ila kuna zile siri zinalinda uhai wako, yani ukizitoa hawana kazi na wewe wanakuua ,hizo kamwe bora nife nazoHaufi mkuu,ni mateso tu kwa ajili ya upelelezi,kabla ya kufikishwa mahakamani.imagine walio mkata kichwa yule Temba,,wamefanywaje mpaka wakasema kichwa kilipo?
Kwamba usipo toa na ukitoa ni kuuliwa tu ama vipi.Hao wameona bora wafungwe tu, ila kuna zile siri zinalinda uhai wako, yani ukizitoa hawana kazi na wewe wanakua hizo kamwe bora nife nazo
Yeah hizo nasepa nazo bwasheeKwamba usipo toa na ukitoa ni kuuliwa tu ama vipi.
Haaahaa 😊Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali
Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?
kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
Ukiteswa unatakaInategemea, kama kuna mazingira ya kutoka hai hata ukitoa siri , naweza toa , ila kama hakuna mazingira ya kutoka hai nikishazitoa hizo siri, nitaenda na hizo siri kaburini .
Mda mwingine siri ni guarantee ya uhai wako🤔
Kama ndiyo ipo utaisema tuUkishasema hapana usithubutu kusema ndiyo
Kuna watu hawatoi SiriKimedani hakuna anayeweza kutosema siri pale atakapopewa maumivu ya mwisho.
Kwa Yale makonkodi wanatumia make, mama au mtoto wako. Utasema tuu.
Njia sahihi ya kutokusema ni kuwakasirisha na kuchochea hasira zao ili wakuue harakaharaka.
Kuna watu hawatoi Siri
Wana viapo vya hatari
Kuna watu wanateswa miaka huko Guantanamo prison ila Siri hawaitoi
😆 Hahahaha,safi sana,wewe kamandaMnazungumzia siri za wanasiasa au siri gani?
Nilishawahi kuvumilia fimbo peke yangu kulilinda darasa..
Angeniongezea adhabu yule tichet ningesema ukweli 😀
Unafikiri ukisema ndiyo ndo utaachwa salamaKama ndiyo ipo utaisema tu
Hujakutana na watu makatili
Endelea na hapana Hadi mwishoUkishasema hapana usithubutu kusema ndiyo
Kuna maelfu ya mateka na washukiwa wakubwa wanateswa na taasisi kubwa kama Mossad na CIA Bado hawatoi Siri.🤓🤓😂
Ukiona hvyo hawana siri zile konk.
Kuna siri ambazo Adui anazitegemea kufanikisha Jambo hivyo atakuwa anakutesa kwa kipimo cha kukuhofia usije ukafa.
Hapo uta survive tuu.
Wengi hubaki kusema mimi ni mtu wa kawaida, sijui chochote.
Mbaya zaidi watataja wale mnaowafahamu na kuwatafuta.
Mfano, anatafutwa Chid, Suma, na Peter.
Peter akakamatwa.
Peter atasema Suma ndiye alikuwa anakutana naye sehemu Fulani hata kama alikuwa hakutani naye. Anatoa maelezo ambayo yanaendana na kile ambacho tayari mnakijua. Anachoongeza nu kidogo ili mumuamini kwa kiasi.
Ukimuuliza boss wenu ni Nani,
Atasema hajaeahi kukutana naye zaidi ya Suma ndiye aliyekuwa anampa Maelekezo.
Kisha ataacha stori hapo
Mtampiga weewee kisha mtamuacha.
Kesho mtakuja tens, mtampiga weweee atakausha.
Siku inayofuata atajifanya anataka kusema Jambo, atamuongeza Chid.
Atasema Kuna Siku alimsikia Suma akimtaja MTU anayeitwa chid.
Ataulizwa Chid ni Nani, na alizungumziwa vipi na Suma.
Atasema Binafsi hajawahi kumwina Chid, ila alikuwa anasikia akiongea na simu na Suma
Kuna maelfu ya mateka na washukiwa wakubwa wanateswa na taasisi kubwa kama Mossad na CIA Bado hawatoi Siri.
Wewe inazungumzia hawa akina na afande Rama
Fuatilia kisa cha Abu Zubayda alikamatwa na kuhojiwa na CIA miaka mingi ila aliwaangiza Chaka vibaya mno hadi wakajiona wajinga na alikuwa kiongozi mkubwa pale Al QaedaSidhani kama hawasemi. Ni kwamba hawana taarifa.
Wanaowafanyia mahojiano wanamatarajio makubwa tofauti na siri walizozibeba hao mateka.
Wahalifu wanaposeti uhalifu wanajenga mfumo ambao wale wanaokuwa kwenye ground/Field/operation wanakuwa wamewekewa barrier ya kujuana na waliotabaka la juu.
Hivyo ukimkamata mfano anayejilipua, yet mwenyewe kuna data za maana anakuwa hana.
Kingine mara nyingi ndani ya system ya wanaohoji anakuwepo mshirika wa mateka iwe kwa mateka kujua au kutokujua
Fuatilia kisa cha Abu Zubayda alikamatwa na kuhojiwa na CIA miaka mingi ila aliwaangiza Chaka vibaya mno hadi wakajiona wajinga na alikuwa kiongozi mkubwa pale Al Qaeda
Pata muda soma habari za mateka kama Che Guevara, Sadam Hussein hakutoa Siri kuhusu Silaha za maangazi pale Iraq
Mkuu Kuna watu wana viapo na wapo tayari Kwa lolote, Siri hawaitoi