Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Kuna jamaa yangu aliwahi kujifanya kama kasafiri, kwahiyo siku aliyodanganya kuwa anarudi akajifanya kama kamnunulia huyo demu mazagazaga ya kutosha akamuomba aje wakutane amkabidhi zawadi zake, demu kweli kaja.Mkuu.,,..kwanza pole sna ..fanya kama umepoteza hela au umetoa sadaka...lakini kama unaweza kumtega akaja ukaonana nae mazingira ambayo mko wawili mpokonye...andaa mtego..ikiwezeka muahidi zawadi kubwa ..usioneshe kukasirika ili aje...
Wewe uliacha??Mpka Leo bado Kuna wanaume mnawanunulia wanawake vitu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] atakaye kula hela yangu kuanzia 50000 na kuendelea ni mke wangu tuWewe uliacha??
Ukiona wewe haununulii ata babe wako kuna mwamba ananunulia vitu,
Sawa mpare[emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23] atakaye kula hela yangu kuanzia 50000 na kuendelea ni mke wangu tu
Hizi pisi nyingine tutavumiliana tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Aiseee......Pole mkuuNdugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa
Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
π πMuite gheto kwako mwambie aje achukue zawadi,,
Sio lazima aje gheto ata hapo kwao unaweza mchomolea lain zake,
Akifika mwambie akupe simu,toa laini mkabidhi baki na simu yako,mwambie asepe maana hakuna anachokudai,
Usimfanye chochote,anaweza kukubambikia mimba bure,
Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa.Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa
Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
Sema huyo mwanamke hajielewiOyaa sikuhiz mkiachana unapokonya kilakitu ulichompa... Kampokonye cm mtupie laini zake... Halafu uache upuuzi wa kugharamia demu...
Kalikuwa kajinga kweli[emoji23]Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa
Nami nikamnuliaga cm ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti,,,mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana,,kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti ,,,nikapotea tu cm hata sikumpokonya nikapotezea tu
Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA
Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa
Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz time 'balance equation' kiroho safi
π π πkuna njia nyingi za kuchukua simu jamaa asimuachie kiboyaaKuna jamaa yangu aliwah kujifanya kama kasafiri,kwahyo siku aliyodanganya kuwa anarudi akajifanya kama kamnunulia huyo demu mazagazaga ya kutosha akamuomba aje wakutane amkabidhi zawadi zake,demu kweli kaja
Kitu pekee alichokuwa kanunua ili kumzugia demu ni nanasi tu,walivyoonana akamkabizi kwanza nanasi wakatembea kuelekea kwao na demu,walipofika njiani jamaa akaomba simu ya demu ili aandike namba fulani alivyopewa tu akabadilika akamwambia live demu kwamba nimekuja kuchukua simu yangu demu alipagawa balaa
[emoji23][emoji1787][emoji1787] kabisa,,,alafu kaliniona mimi boya sana,,,,hajui kama 'ujinga ni wakati wa kwenda tu, Wakati wa kurudi unakuwa mwenyeji 'Kalikuwa kajinga kweli[emoji23]
ππππUnanikumbusha jamaangu alipanda juu ya bati kung'oa dish la azam .hahahaha
Aisee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kabisa,,,alafu kaliniona mimi boya sana,,,,hajui kama 'ujinga ni wakati wa kwenda tu, Wakati wa kurudi unakuwa mwenyeji '