Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Mkuu.,,..kwanza pole sna ..fanya kama umepoteza hela au umetoa sadaka...lakini kama unaweza kumtega akaja ukaonana nae mazingira ambayo mko wawili mpokonye...andaa mtego..ikiwezeka muahidi zawadi kubwa ..usioneshe kukasirika ili aje...
Kuna jamaa yangu aliwahi kujifanya kama kasafiri, kwahiyo siku aliyodanganya kuwa anarudi akajifanya kama kamnunulia huyo demu mazagazaga ya kutosha akamuomba aje wakutane amkabidhi zawadi zake, demu kweli kaja.

Kitu pekee alichokuwa kanunua ili kumzugia demu ni nanasi tu, walivyoonana akamkabizi kwanza nanasi wakatembea kuelekea kwao na demu, walipofika njiani jamaa akaomba simu ya demu ili aandike namba fulani alivyopewa tu akabadilika akamwambia live demu kwamba nimekuja kuchukua simu yangu demu alipagawa balaa.
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa

Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
Aiseee......Pole mkuu
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa

Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa.

Nami nikamnuliaga simu ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti, mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana, kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti, nikapotea tu simu hata sikumpokonya nikapotezea tu.

Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA

Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa

Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz tume 'balance equation' kiroho safi
 
Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa

Nami nikamnuliaga cm ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti,,,mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana,,kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti ,,,nikapotea tu cm hata sikumpokonya nikapotezea tu

Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA

Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa

Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz time 'balance equation' kiroho safi
Kalikuwa kajinga kweli[emoji23]
 
Kuna jamaa yangu aliwah kujifanya kama kasafiri,kwahyo siku aliyodanganya kuwa anarudi akajifanya kama kamnunulia huyo demu mazagazaga ya kutosha akamuomba aje wakutane amkabidhi zawadi zake,demu kweli kaja
Kitu pekee alichokuwa kanunua ili kumzugia demu ni nanasi tu,walivyoonana akamkabizi kwanza nanasi wakatembea kuelekea kwao na demu,walipofika njiani jamaa akaomba simu ya demu ili aandike namba fulani alivyopewa tu akabadilika akamwambia live demu kwamba nimekuja kuchukua simu yangu demu alipagawa balaa
😀 😀 😀kuna njia nyingi za kuchukua simu jamaa asimuachie kiboyaa
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787] kabisa,,,alafu kaliniona mimi boya sana,,,,hajui kama 'ujinga ni wakati wa kwenda tu, Wakati wa kurudi unakuwa mwenyeji '
Aisee[emoji23]

Kalikuona boya[emoji23],,,,siyo mbaya hakuna ulichopoteza hapo[emoji23]
 
Back
Top Bottom