Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa
Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa.
Nami nikamnuliaga simu ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti, mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana, kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti, nikapotea tu simu hata sikumpokonya nikapotezea tu.
Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA
Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa
Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz tume 'balance equation' kiroho safi