Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Mzee Mimi imenitokea hii mzee tena screnario kama Yako kabisa mtoto whiiiite(NAMI ndio ugonjwa wangu)

Nikahonga simu laki 3 just imagine hata bimkubwa wangu sijawahi mpa.

Alivyoipata tu akanipotezea mazima[emoji1787][emoji2]

Nilipanic sana sana. Ila nikajituliza.

Nimeamua kuwa mkimya najua siku isiyo na Jina atarudi tu kwenye anga zangu.

Nitalipiza kisasi.

Wakati huu nafukuzia pisi zingi sijakoma[emoji2]
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Kenge zao sana [emoji28][emoji28]
 
Namna hiyo [emoji16]
 
Namna hiyo ila ilifanya mistake before bahati Yako nature ilikuwa upande wako otherwise ungelia kilio Cha mbwa koko
 
Pole mbona kipindi ya nyuma nilimnunulia mwanaume simu baada ya masiku nikamfumania na mtu mwingine kipindi hicho na 18 nikapotezea kwani saivi hana mbele wala nyuma anaosha gari za wenzie nakutumwa tumwa tu town hapa mwache laana itamkuta mbeleni .

Achana na hiyo shida tena Mungu amekuepushia magonjwa na huyo laana .

Ila wanawake na kitu wanadamu Mungu anawaona
 
Mpigie #Bei Elekezi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tuambie bwana unaunguza utamu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Hivi mkuu wewe ni. Sanguine au Choleric?
 
Khaaa hatari sana!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu
 
Hawa warembo ni kuwa treat kama malaya tuu...ukisema ulete upendo kwao utaishia kulia kwa choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…