Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

Sitaki kutembea na mwanafunzi aliye chini ya umri wa miaka 18, wala sitaki kulawiti vitoto vidogo. Ila ninaumia moyoni kwa kuchekwa na marafiki lol!

Pole sana mkuu na matobo.
 

Bikira ziko tu mkuu hujaamua, afu avatar yako inaonekana mzee then unajiita kijana
 
pole ndugu yangu,dah! yaani hauna zali kabisa.
Nalog off
 
Mkuu kama hukupata ukiwa primary au secondar kwa wakati huo basi ustarajie muujiza kwa sasa maana hata ya kichina hutapata.
 
jaman niseme mara ngap nakupenda unielewe? wewe ndo umeshikilia bolt za mwili wangu come on my angel i love you more than normal

Umeshawahi kuogeshwa tindikali wewe...!?
c.c figganigga
 
Last edited by a moderator:
kwa maisha ya sasa ni ngumu sana wengi wanaanzwa kutolewa primary mwisho form 2 mmoja ktk elfu ndio wanafika nazo form 4 na mmoja ktk laki 5 labda ndio anafika nayo form 6 baada ya apo hakuna tena ni mitumba tu!!
 
Wewe mwenyewe maharage ya mbeya bikra utaikuta wapi khu mwanaume zipu mkononi, utakutana na haohao maji maramoja.
 
We mwenyewe bikira?kwa taarifa yako wapo wengine hata vyuoni na wanazo? UmewaZINI machangudoa wataka ukute bikira

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…