Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

Siku hizi wanazaliwa bila bikira
 
Pole mzee usijali! Hata mtumba siku hizi kuna grade one pia! Jambo la msingi jitihidi tu kufungua vizibo ipo siku utabahatika kupata brand new na kuacha na chakavu! Be careful kwenye kutafuta brand new kwani by the time unaipata huenda ulishaumizwa na chakavu (HIV+++++)
 
Mhh japo ni jambo zuri kw dunia ya sasa nashangaa,tna mwanaume?‎؟una miaka mingap kwan
 
asa kama wewe kila kukicha unafuna unatupa kule na wenzako kumi wakifanya hivyo unafikiri nn matokeo , ulisha nanhii wangapi kwani ? kazana usikate tamaa
 
Kwani kwa kukosa huyo mwenye bk je kuna kitu umepungikiwa? Ushuri wangu usifirie hiyo bk maana itakugharimu sana. Mara nyingi is just a luck kukutana na binti mwenye bikira.
 

This is your private business. Kama huna mada ya maana soma michango ya wenzako

 
Sitaki kutembea na mwanafunzi aliye chini ya umri wa miaka 18, wala sitaki kulawiti vitoto vidogo. Ila ninaumia moyoni kwa kuchekwa na marafiki lol!


we mwenyewe bikira??
 
kwaio una hitaji bikra au??? sijakupata bado hapo mkuu
 
basi kama inakuuma mzae wa kwako then mbikiri kabla wengine hawajakuwai,au na wewe uwe bikra then utampata aliyebikramwenzako ikishindikana nenda kasino wapo wengi kweli mabikra huko chagua upendavyo
 
Wanasema wanawake wajinga, nachoshukuru ujinga hupona lakini upumbavu wa wanaume hauishi maana hata baba wa taifa alisema upumbavu ni kama urefu na ufupi hauishi wala hauponi.
so wakikuambia wao wamelala na waathirika wa ugonjwa hatari wa kuambukiza pia utatamani na wewe umpate mmoja. Kwanini ujisikie vibaya, we ulikuwa bikira wakati unakutana na uliyenaye kwamba umedhulumiwa
 
PesaNdogo mbona hivyo lakini?!
 
Last edited by a moderator:

hakuna ubaya mtu ku express unachojickia.... anachoitaj ni ushauri nasaha tu kama anaweza pata au la maana ni mambo yapo ktk jamii yetu!!! who wouldnt jump at a chance ya kukutana na kiumbe bikra? mbona wanawake wenye nazo wanaambiwa wazitunze mpaka wakiolewa it means there is something special about it si ndio? so hakuna kosa kuitafuta as long as kihalali!!!
 
PesaNdogo mbona hivyo lakini?!
nikuulize wewe shida iko wapi, kwani hao mabikira hicho kiungo huwa bikra milele hakibadiliki? ukishamtumia atakuwa sawa na hao wote uliokutana nao so what is the point inayokupa pressure?? sio lazima upate kila anachopata mwanaume mwingine tena wanawake wengi hawakukutendewa haki wakati wanapoteza hizo bikra wengine walibakwa n.k sasa una uhakika hao wanaume wenzio sio mmoja wa wabakaji so na wewe ubake mtu kama wao?
 

Hivi matokeo yenye div 0 yameshatoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…