Uchaguzi 2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu

Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike

Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli

Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji

Mkoa wa Pwani (3)
Kibaha
Bagamoyo
Chalinze

Mkoa morogoro (6)
Mjini
Kusini
Kusini mashariki
Ifakara
Kilombero
Mikumi

Iringa (6)
Isimani
Mjini
Mufindi kusini
Mufindi kaskazn
(Ruaha/)
Ilula

Njombe (4)
Njombe
Lupembe
Wanging'ombe/makambako

Mkoa mbeya (4)
Mbarali
Mjini
Mbeya vijijini
Rungwe

Mkoa songwe (4)
Mbozi
Vwawa
Tunduma
Songwe

Mkoa Rukwa (3)
Sumbawanga mjini
Sumbawanga vijijini
(Nkasi)

Mkoa katavi (4)
Tanganyika
Mpanda vijjn
Mpanda mjini

Mkoa kigoma (6+)
Kigoma mjn
Kigoma kusini
Kigoma kaskazini
Kasulu
Muhambwe
Kibondo

Mkoa kagera (8)
Bukoba mjini
Bukoba vijijn
Muleba kusini
Muleba kaskazin
Kyerwa
Ngara
Misenyi
Karagwe

Geita (2)
Geita
Buchosa

Jumlisha namba kwenye mabano
Halafu jumlisha na ule uzinduzi wa kanda zote 10 Tz nzima

Usipotoshe umma
 
Nipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
Wewe utakuwa mchaga wa Burundi
 
Jumlisha zanzibar (unguja) kuna majimbo mangapi na yote yapo karibu.usisanahu mgombea mwenza ni sehemu ya lissu naye anatembea kwenye majimbo ya ndani
 
Hizo tawimu za Chadema umetoa wapi?

Tuanzie hapo kwanza!
Anapozunguka kwenye majimbo anaonekana wazi Leo Yuko Jimbo hili na humu jamii forums , Twitter nk kote wanapost alipo mfano Leo yupo Geita Jimbo la 17 toka aanze kuzunguka
 
Hizo tawimu za Chadema umetoa wapi?

Tuanzie hapo kwanza!
Huyu jamaa labda hiyo 17 ni kwa kagera ,Kigoma na geita
Ambapo ni 8+7+3=18
Hii speed sio poa hadi magu akaomba likizo
Alafu Salum mwalimu anafanya yake
Zitto nae anapambana Tabora
Membe anashughulika na intelligence
Mnyika ni kama kocha anasoma mchezo na kufanya kutoa maelekezo

Kiufupi mwaka huu Ccm waanze kutafta KUB pale mjengoni
 
Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu...

Kinachofika kila jimbo sio mwili wake bali ni ujumbe wake. Injili imeenea dunia nzima, kwani Yesu alikata kila kijiji cha dunia hii?
 
Nipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
Kwahiyo mnamkubali Magufuli kwakuwa kawatenga?!

Maajabu hayataisha Tanzania!
 
kwa hyo unakubaliana na hoja kuwa jiwe ni mbaguzi, mkabila na mkanda pia?
Nipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
 
Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu...
Bora umewaeleza ukweli ili wajitambue kuwa wanacheza na moto mkali sana
 
Nipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
Wewe ni mchaga maskini??
 
Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu

Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike

Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli

Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji
1. Kigoma mjini
2. Kigoma Kaskazini
3. Kasulu
4. Mihambwe
6. Sumbawanga mjini
7. Tunduma
8. Viwawa
9. Mafinga mjini
10. Iringa mjini
11. Mufindi mjini
12. Njombe
13. Momba
14. Bukoba mjini
15. Karagwe
16. Kibaha
17. Kawe
18. Segerea
19. Mbeya mjini
20. Mbozi

Hayo nimekutajia kwa uchache ili nikuonyeshe tu ulivyo mjinga kazi kuchorachora tu humu!
 
Kinachofika kila jimbo sio mwili wake bali ni ujumbe wake. Injili imeenea dunia nzima, kwani Yesu alikata kila kijiji cha dunia hii?
Mkuu huu Ujumbe hata kwa Mtu Mpumbavu kiasi gani kwa maana yake tu atakuwa ame kuelewa.
 
Back
Top Bottom