Uchaguzi 2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

Kwetu tu sijui kama atafika. Ila tumejiapiza tunamchangua yeye tu. Watu tunasikiliza hotuba zake mitandaoni, tumepagawa naye kweli kweli. Teknolojia imetuweka karibu nae sana.
 
Duuh 10 Kati ya 200??

Hiki sio kipimo sahihi cha ushindi...

Aache kudanganya wafuasi wake kua atashinda.
 
Anapozunguka kwenye majimbo anaonekana wazi Leo Yuko Jimbo hili na humu jamii forums , Twitter nk kote wanapost alipo mfano Leo yupo Geita Jimbo la 17 toka aanze kuzunguka
Sasa magu si atakuwa na manne
 
Chadema wapo 7mln
Ccm 10mln washabiki chadema ina mara 3 ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…