KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini wahariri kuratibu katika kutoa habari a mitandaoni.
Asante Jamii Forum.
Asante Jamii Forum.