Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini wahariri kuratibu katika kutoa habari a mitandaoni.
Asante Jamii Forum.
 
Apelekewe bahasha
 
Max akilegea tu, tumeisha 🤣 chezea asali wewe?
Muishe mara ngapi.
Oooh kambi ishavamiwa
Tangu muda mrefu Sana.
Je, umeshawahi kujiuliza kwamba hao baadhi ya members wa JF ambao wamekuwa wakitoa taarifa za kwamba 'member fulani wa JF amekufa' huwa wanajuaje?!!

Anyway, even 'backdoor technology' is underwork.
 
Mhh!
Anzeni kuishi kimachale.
Namfahamu vizuri sana Max, sina wasiwasi naye kabisa, issue ni ofisi, kuna wadudu watapandikizwa punde tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…