Hiyo elimu yake inayojitegemea inamsaidia nini tofauti na maswala ya kiimaniKwanza tambua uislam hataki mantiki.
Uislamu una elimu yake inayojitegemea. Sio elimu dunia
Hiyo elimu yake inayojitegemea inamsaidia nini tofauti na maswala ya kiimaniKwanza tambua uislam hataki mantiki.
Uislamu una elimu yake inayojitegemea. Sio elimu dunia
Hamna lolote. Wengi wenu ni watu duni kifikra.Basi fanyeni nyie kwani lazima Mashekh!?
Waacheni Mashekh sie tuko pembeni kusubiri Mageuzi yenu
waislamu huwa hawalaani kwenye magazeti au kwenye vyombo vya habari,kwenye mazishi yake shehe anayepewa fursa ya kuendesha sala huongea hapo na haongei ili kuwapendezesha watu laa,na wewe huwezi kuwalazimishe watoe kauli utakavyo weweAlly Kibao kauawa.
Leta hapa tamko la kulaani.
Au alikuwa Mgalatia??
Unalaani ukiwa chumbani kwako nani atasikia au kuona umekemea..? Acheni mambo hayo toeni matamko ya kukemea maovu wazi watu wasikie na waonewaislamu huwa hawalaani kwenye magazeti au kwenye vyombo vya habari,kwenye mazishi yake shehe anayepewa fursa ya kuendesha sala huongea hapo na haongei ili kuwapendezesha watu laa,na wewe huwezi kuwalazimishe watoe kauli utakavyo wewe