Wewe ni mpuuzi kuliko hata neno lenyewe, Sasa tukuulize halafu utuwekee uwiano hapa, Ni masheikh wangapi wametetea mauji hapa nchini na ni Mapadri, wachungaji wangapi wamekosoa mauaji na hata walipoingia kwenye matatizo mliungana kwa elimu zenu kuwatetea waliopatwa na kadhia ili tuone elimu zenu zimewasaidia vipi na mkono wa chuma.
Yupo Geordavie, Hananga, wakuu wa KKKT na wengi tu wanasimama kumsifu na kumuunga mkono Rais wakitamka hadharani kuwa Mama anafanya vizur, Usituletee ujinga wa sijui hao ni matapeli, na sisi tutakuambia pia huyo sheikh wako na hao wengine ni matapeli pia hawaiwakilishi dini ni maoni yao binafsi kama yale ya wakristo wafuatao Makonda, Sabaya, Mwigulu, Nchimbi, Askofu Shoo, Wambura(IGP), na Wabunge ambao kwa idadi wengi ni Wakristo. Kwahiyo tukiweka uwiano hapa wanaotetea mauaji kwa idadi kubwa ni Wakristo na sio Waislam.
Kama unataka kuongelea reforms hujui kitu, Waislam washahangaika nazo kitambo nyinyi mkimuunga mkono Mkapa kuuwa , Sasa mmekuja na zenu mnataka kuungwa mkono na kila mtu ila wakat wenzenu wanapambana na udhalimu mliungana na muuaji. Nyinyi ni wasaliti kwa asili yenu, ni watu mliogubikwa na chuki kutoka kwenye mioyo yenu. Bungeni ambako ndio reforms zingefanyika yupo Dada yenu kule, kucha kumsifia Mama, acha kabisa kuongelea waislamu, wewe hangaika na hao masheikh zako njaa kama ilivyo kwa wachungaji wako njaa.