Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

Status
Not open for further replies.
Kwa sababu ni mtu mzima siwezi kuwalaumu wazazi wako kwa kutokana na tabia yako.
Hao ambao umewatukana ndio waliosababisha imepatikana hii unayoiita Tanganyika (Tanzania) na unayosema unaipigania, je hao wenye akili walikuwa wapi zaidi ya kuwa vibaraka wa Wakoloni!
Unaposema Masheikh unapaswa useme idadi yao halafu tutakupa idadi ya Maaskofu, Wachungaji na na Mapdri waliokuwa wakiunga mkono Serikali zilizowahi kuwa katili (hii ikasome).
Halafu kama ni kweli wewe ni mpenda haki eleza pia awamu iliyowahi kuwa katili kuwahi kutokea bila kujali maslahi ya imani yako.
 
Hakuna kitu kibaya kama kusahihisha uovu kwa uovu. Dini zitawavua sana utu.
 
Wakuu nileo tena.

Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.

Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?

Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo kimantiki zaidi.
Meshekh wengi ni chenga sana yaani ni low IQ katika maswala nyeti.

Nchi yetu inapitia kipindi kigumu cha utekaji na uuaji hadi ubakaji nk lakini shekh mmoja sijui kala tende zenye masala ya bangi. Eti anatetea wauaji daah.

Ajabu siku reforms zikifanyika utawasikia wanasema historia imewasahau. Hata zama za uhuru walikua snitch sana hawa watu.

Sikatai wapo wachache wanaojua wajibu na kipi waongee na kupi watulie. Ila katika 100% wanaojitambua kwa wenzetu muslim ni 20% walio bakia acha waitwe tu majina ya hovyo.

Ndugu zanguni waislam somesheni saaana watoto na wekeni vigezo mtu ili awe shekh lazima apige kitabu pia. Kuondoa huu ujinga mnaotuonesha kwenye jamii zetu.

Walaaaniwe wale wote wanao tetea wauaji watekaji wafiraji.

Watanzania ndugu zangu tuipende Tanzania (Tanganyika) kuliko chama chochote, Dini yeyote yenye kutuona mafwala au inayotumika kutukandamiza.[mwamposa tapeli], Kabila, uchawa na wasanii wetu woote wa injili, taarabu, Hip Hop, Bongo fleva, kaswiida nk

Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Pia acheni unafiki, waislamu wakijitoa kupambana mnawaita magaidi.

Waislamu kibao wamewekwa gerezani kisa mambo ya siasa, wewe hujui?

Wale wa Zanzibar wamekaza jela miaka 8 kisa kupigania uhuru wao na mlikuwa mnawaita magaidi.

Maneno aliyoyasema lisu, angesema muislamu muda huu angekuwa anaitwa gaidi ila mkristo anaitwa mpambanaji/mwanamapinduzi.
 
Hawaachani nyuma hao.

Kuwa hayawani utakavyokuwa ua utakavyoua baka utakavyobaka but as longer as unaabudu kama wao unanena kama wao watasimama na wewe hadi mwisho wako ufike,ogopa sana jamii hata kuua inatetea siyo jambo la kawaida kwa binadamu anayejitambua.
Lini mliwaacha mkapa na magufuli?!!!! Hebu tuelezee kidogo msomi.
 
Maswala ya siasa na dini ni vitu haciendani,
Ukimuona mtu wa dini kaingia kwenye siasa basi jua dini ashaiacha.

Kuna wakristo wengi mno wanaisapoti CCM dam dam

Hao nao hawana akili?

Huyo Gwajima mnayemuona mwana mapinduzi, kipindi cha JPM mbona alikuwa anasifia tu wakati maovu yalikuwa kibao tu.

Mkitaka siasa fanyeni siasa ila sio kwa migongo ya dini

Nyote MASHOGA mnaotumia dini kwa ajili ya siasa
Hiyo sehemu inawastua kweli, wanatamani wadanganye kwamba alikuwa anatetea lkn clip hakuna. Kimsingi kikubwa kinachoendelea ni chuki tu ya kidini basi.....
 
Acha ushoga wewe, mbona wakina Mwamposa wametulia haja kukemea hawajakemea.

UCHAWA wa BAKWATA haufanyi uislamu kuwa na kasoro, hao ni CCM wenzao
Kuna jambo kubwa la kishari ya kidini linaendelea.........Kuna watu wameagizwa washushe Malaki ya nyuzi za kidini za kuponda Imani ya mama na jamii yake kwenye platforms zote. Huu ni mpango maalum fuatilia tu vzr hapa JF utagundua. Hali itaendelea hivyo Hadi atakapotoka. Tutarajie matusi makubwa zaidi kwa Waislamu. Ni viongozi wengi tu wa kikristo wanaunga mkono serikali lkn je, umewahi kuona Uzi wowote wa kuwatukana kiasi hiki?!! Ni viongozi wengi tu wa kiislamu hawapo kabisa na serikali lkn umewahi kuona Uzi wa kuwasifia?!!!!

Kuna jambo kubwa linaendelea........
 
Wakuu nileo tena.

Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.

Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?

Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo kimantiki zaidi.
Meshekh wengi ni chenga sana yaani ni low IQ katika maswala nyeti.

Nchi yetu inapitia kipindi kigumu cha utekaji na uuaji hadi ubakaji nk lakini shekh mmoja sijui kala tende zenye masala ya bangi. Eti anatetea wauaji daah.

Ajabu siku reforms zikifanyika utawasikia wanasema historia imewasahau. Hata zama za uhuru walikua snitch sana hawa watu.

Sikatai wapo wachache wanaojua wajibu na kipi waongee na kupi watulie. Ila katika 100% wanaojitambua kwa wenzetu muslim ni 20% walio bakia acha waitwe tu majina ya hovyo.

Ndugu zanguni waislam somesheni saaana watoto na wekeni vigezo mtu ili awe shekh lazima apige kitabu pia. Kuondoa huu ujinga mnaotuonesha kwenye jamii zetu.

Walaaaniwe wale wote wanao tetea wauaji watekaji wafiraji.

Watanzania ndugu zangu tuipende Tanzania (Tanganyika) kuliko chama chochote, Dini yeyote yenye kutuona mafwala au inayotumika kutukandamiza.[mwamposa tapeli], Kabila, uchawa na wasanii wetu woote wa injili, taarabu, Hip Hop, Bongo fleva, kaswiida nk

Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Education
 
Kuna jambo kubwa la kishari ya kidini linaendelea.........Kuna watu wameagizwa washushe Malaki ya nyuzi za kidini za kuponda Imani ya mama na jamii yake kwenye platforms zote. Huu ni mpango maalum fuatilia tu vzr hapa JF utagundua. Hali itaendelea hivyo Hadi atakapotoka. Tutarajie matusi makubwa zaidi kwa Waislamu. Ni viongozi wengi tu wa kikristo wanaunga mkono serikali lkn je, umewahi kuona Uzi wowote wa kuwatukana kiasi hiki?!! Ni viongozi wengi tu wa kiislamu hawapo kabisa na serikali lkn umewahi kuona Uzi wa kuwasifia?!!!!

Kuna jambo kubwa linaendelea........
Hii siyo kweli, kwani hakuna mtu mwenye mpango wa kumtukana kiongozi wa Dini ambaye hana kauli tata, mbona shekhe mkuu mfuti hawamtukani? Kiongozi ukijiheshimu na kuheshimu haki za binadamu kupenda haki kukataa utekaji mauaji vitendo haramu vya kishetani, hskuna mtanzania atakutukana acha kupotosha acha propaganda za kizamani tambua kuwa watanzania wa sasa wameamka wanajua wabaya na wema
 
Kwa sababu ni mtu mzima siwezi kuwalaumu wazazi wako kwa kutokana na tabia yako.
Hao ambao umewatukana ndio waliosababisha imepatikana hii unayoiita Tanganyika (Tanzania) na unayosema unaipigania, je hao wenye akili walikuwa wapi zaidi ya kuwa vibaraka wa Wakoloni!
Unaposema Masheikh unapaswa useme idadi yao halafu tutakupa idadi ya Maaskofu, Wachungaji na na Mapdri waliokuwa wakiunga mkono Serikali zilizowahi kuwa katili (hii ikasome).
Halafu kama ni kweli wewe ni mpenda haki eleza pia awamu iliyowahi kuwa katili kuwahi kutokea bila kujali maslahi ya imani yako.
Wewe ndiyo ulimtuma shekhe ubwabwa kwenda kuongea ujinga? Kama hutaki lawama acha kuwa chawaccm na kujitoa fahamu kuongea ujinga kusapoti ukatili kuingilia uhuru wa mahakama ingawa sasa ni mahakamaccm
 
Pia acheni unafiki, waislamu wakijitoa kupambana mnawaita magaidi.

Waislamu kibao wamewekwa gerezani kisa mambo ya siasa, wewe hujui?

Wale wa Zanzibar wamekaza jela miaka 8 kisa kupigania uhuru wao na mlikuwa mnawaita magaidi.

Maneno aliyoyasema lisu, angesema muislamu muda huu angekuwa anaitwa gaidi ila mkristo anaitwa mpambanaji/mwanamapinduzi.
Waliowatetea mashehe wazanzibar ni wakiristo kwani waliwekwa ndani na mwisilam mwenzoa kikwete na maneno yao yalikuwa na vitisho vikali tofauti na kauli ya Lisu ambayo haina ubaya
 
Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Bila kujali rangi yake, dini yake, kabila lake au sifa nyingine yoyote; anayepinga HAKI ya waTanzania kujichagulia viongozi wanaowataka huyo ni adui wa taifa hili.

Hawa waislam wanaoweka mbele uislam wa Samia na Genge lake; huku akivuruga umoja wa nchi hii ni maadui zetu wote. Wasiweke mbele dini kuwa kinga yao ya ubaguzi, na kuihamishia kwa wanaokata maovu.
 
Mwamposa, mzee wa upako, Tony Kapora, askofu Mwanamapimduzi nao ni mashekhe?
Hawa ni wasaka fursa, oote inaoatikana; haijalishi ni nani anayewaa hiyo fursa. Hata shetani akitokea watamaka marumaru aonekane mzuri.
Usifikiri hawajui kinachotokea; ila kwa kuwa Samia anaweza kuwafuga, kwa sasa wao tayari kuuza roho zao kwake.

Tuombe itokee huyo tegemeo lao aoteze uwezo wa kuwahudumia; utaona hali yao itakavyo geuka haraka sana.
 
Mashekh ubwabwa ndo unaozungumzia hapa Ila fahamu wapo waislamu wengi na wanaelewa mambo Sana Ila sio waongeaji.
 
Kujenga hoja na kuhutubia kadamnasi sio kitu kidogo shekh, kunahitaji angalau uwe umefika dara la saba, sasa kama hata darasa la saba hukumaliza unategemea nini
 
Aisee na smartphone NI haramu pia
Wewe Shekhe ndio umesema hivyo kwamba Smartphone haramu, Shekhe kakomaa humo kwenye simu kuna vitu vyenu mnaangalia sijui nini na upuuzi kibao eti ooh acha kutumia Smartphone, nikataka kumuuliza umeninunulia wewe hii au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom