Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

Status
Not open for further replies.
Mageuzi yafanywe na wavaa kobazi we unaota uko unakunya wewe, hawahawa masheikh ubwa ubwa vichwa vya panzi
Kama hawawezi mbona mnaandamana humu kulialia ooh Mashekh hawafai. Nyie mnaoweza fanyeni basi waacheni Mashekh.
Mnajua fika bila Mashekh hamtoboi ndio mana mnaumia sana wanapokuwa na msimamo tofauti. Hata Nyerere alijua hawezi kutoboa bila Mashekh that's why alikuwa tayari kufunga swaum na waislam
 
Kumbe unaumia sana Mashekh kwenda tofauti na Wakristo!
Maana yake wajua kabisa Mashekh ndio wanamageuzi wa kweli wakiamua. Kama huamini fanyeni nyie wagalatia basi waacheni Mashekh.
Hawa hawa wazee wa akilo nusu kijiko..? Wanamageuzi yapi kama sio njaa tupu. 🤣🤣🤣🤣
 
Acha mikwara ya kipumbavu...watu hata kujiongoza wenyewe hamuwezi mtawezaje kuleta mabadiliko? Mikwara yote mkipewa ubwabwa tu mnanywea...mbona mna malalamiko ya mambo mengi tu miaka nenda rudi na hamfanyi lolote? Mnasubiri mtume arudi? Masheke kibao wamedakwa kwa ugaidi, mkiru mlifanyiwa mambo ya ajabu na hatukusikia kelele yeyote. Nyie ni watu gani?
Basi fanyeni nyie kwani lazima Mashekh!?
Waacheni Mashekh sie tuko pembeni kusubiri Mageuzi yenu
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Usijizime data. Kumbuka hao mashekhe ndio waliotafuta Uhuru wa nchi hii.
Ndio waliomkaribisha na kumpokea Nyerere Dar-es-salaam.
Ndio waliowakaribisha Dar makafiri wote waliojazana Dar.
Na hata leo Mashekhe wakiamua kufanya mabadiliko mtakimbia nchi.
Waislamu hawaogopi kufa kwani hawana cha kupoteza sio nyie wagalatia mnajificha nyuma ya keyboard na No Reforms No Election. Sisi tukitaka letu seriously tunakuja hadharani, hatuoni tabu kujivisha mabomu.
Uhuru upi waliuleta..? Acha uongo wewe. Uhuru hautafutwi kwenye vijiwe vya kahawa na kashata. Unaandika pumba mmezoea kudanganyana kwa hadithi za kiwaki. Uhuru wa Tanganyika ulitafutwa kwa mazungumzo sasa kwa akili hizi za mashekh wangeweza kibagaini kweli na wazungu..? Ingekua mashekh wamepambania uhuru mpaka leo tungekua chini ya mkoloni kwa maana wangelishwa pilau ja nyama ya ngamia alafu wanaufyata.
 
Acha mikwara ya kipumbavu...watu hata kujiongoza wenyewe hamuwezi mtawezaje kuleta mabadiliko? Mikwara yote mkipewa ubwabwa tu mnanywea...mbona mna malalamiko ya mambo mengi tu miaka nenda rudi na hamfanyi lolote? Mnasubiri mtume arudi? Masheke kibao wamedakwa kwa ugaidi, mkiru mlifanyiwa mambo ya ajabu na hatukusikia kelele yeyote. Nyie ni watu gani?
NAKAZIA
hajitambui huyo mkuu
 
Mbona unakuja hapa kulialia na Mashekh. Si mfanye wenyewe. Kwani Mashekh wamekuzuia nini wewe ikiwa hawana hata shule!
Kuna kilio umekiona nimewaonea huruma maana mna ujinga mwingi sana pambaneni mkasomeshe watoto waje kuwa mashekh wenye uelewa pia. Itawasaidia hata katika kusimamia shughuli zenu.
 
Tunafanya makosa sana tunapowachanganya waislamu wooote kwa jambo lililofanywa na muislamu mmoja.

Unapoona muislamu au mkristo kwa namna yeyote anatetea tabia za CCM na anaipigania CCM halafu anahusisha na dini yake tambua tu huyo mtu hana uelewa mzuri wa dini yake na inawezekana either yuko kazini anafanya kazi ya TISS au ni mchumia tumbo aliyepewa buyu la asali.

Tabia na mambo yanayofanywa na CCM na watu wake sidhani kama kuna dini inakubaliana nayo, Dini zote zinataka haki, zinakataza rushwa, wizi, uzinzi, umalaya , unafiki nk.. sasa kiongozi wa Dini(Sheikh, Askofu mchungaji nk) unaweza kusimama mbele za watu ukatetea na kuwapigania watu kama hawa.?

Tuwe makini sana na mbinu wazitumiazo CCM wanapokuwa kwenye harakati za uchaguzi, maana hapa wao cha muhimu ni kushinda uchaguzi na wanakuwa kama wehu wakiwa tayari kufanya lolote na mwisho wa siku huwa wakifanikisha lao unakuta wamezua tatizo lingine ambalo unakuta liko out of control yao.

ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Uhuru upi waliuleta..? Acha uongo wewe. Uhuru hautafutwi kwenye vijiwe vya kahawa na kashata. Unaandika pumba mmezoea kudanganyana kwa hadithi za kiwaki. Uhuru wa Tanganyika ulitafutwa kwa mazungumzo sasa kwa akili hizi za mashekh wangeweza kibagaini kweli na wazungu..? Ingekua mashekh wamepambania uhuru mpaka leo tungekua chini ya mkoloni kwa maana wangelishwa pilau ja nyama ya ngamia alafu wanaufyata.
Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hili
 
Kuna kilio umekiona nimewaonea huruma maana mna ujinga mwingi sana pambaneni mkasomeshe watoto waje kuwa mashekh wenye uelewa pia. Itawasaidia hata katika kusimamia shughuli zenu.
Kwa chuki ulizojazwa dhidi ya Uislamu huwezi kumhurumia Mwislamu wewe
 
We
Wakuu nileo tena.

Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.

Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?

Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo kimantiki zaidi.
Meshekh wengi ni chenga sana yaani ni low IQ katika maswala nyeti.

Nchi yetu inapitia kipindi kigumu cha utekaji na uuaji hadi ubakaji nk lakini shekh mmoja sijui kala tende zenye masala ya bangi. Eti anatetea wauaji daah.

Ajabu siku reforms zikifanyika utawasikia wanasema historia imewasahau. Hata zama za uhuru walikua snitch sana hawa watu.

Sikatai wapo wachache wanaojua wajibu na kipi waongee na kupi watulie. Ila katika 100% wanaojitambua kwa wenzetu muslim ni 20% walio bakia acha waitwe tu majina ya hovyo.

Ndugu zanguni waislam somesheni saaana watoto na wekeni vigezo mtu ili awe shekh lazima apige kitabu pia. Kuondoa huu ujinga mnaotuonesha kwenye jamii zetu.

Walaaaniwe wale wote wanao tetea wauaji watekaji wafiraji.

Watanzania ndugu zangu tuipende Tanzania (Tanganyika) kuliko chama chochote, Dini yeyote yenye kutuona mafwala au inayotumika kutukandamiza.[mwamposa tapeli], Kabila, uchawa na wasanii wetu woote wa injili, taarabu, Hip Hop, Bongo fleva, kaswiida nk

Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Ww. Ni mpumbav na elim yako haijakusaidia kitu.
Tuko kwenye democracy Ina maana Kuna uhuru wa kuchagua
Asa hao mashekh wana uhuru wa kuchagua kupiga kura na ww una uhuru wa kuchagua kutokupiga
Tusilazimishane maamuzi
 
Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hili
Waislam ndio walimsokesha na kumpa maarifa au sio 🤣🤣🤣🤣
Nyerere alisomea kwa kina nani...? Ndivyo mlidanganyana eti hao mashekh walimzonga tu Nyerere ili wakati wa uhuru wa mshawishi nchi iwe ya kisharia. Sema Nyerere alieasoma akawatosa maana hawakuwa na maarifa. Ndio maana katika Historia mchango wa Dini ya kikirsto umeandikwa mpaka madarasani kuanzia form 1-4 mpaka vyuoni mchango wao unaonekana kwa sababu umekaa kisomi na kimpangilio sana. Na ulimsaidia Nyerere na wana ukombozi wote Africa
 
Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hili
Nyerere alikuja Dar, na hao Waislam ndio walikuwepo.

Ila hawakupigania Uhuru kama dini.

Miaka hiyo kila mtu alishiriki kwa imani yake ikiwemo MACHIEF na uchawi wao
 
Nyerere alikuja Dar, na hao Waislam ndio walikuwepo.

Ila hawakupigania Uhuru kama dini.

Miaka hiyo kila mtu alishiriki kwa imani yake ikiwemo MACHIEF na uchawi wao
Nakazia.
Kwenye hotuba za nyerere alisema hili kuwa mchango ulikua wa kila mtu na sometimes alisema ilikua inamwia ngumu anatoka kanisani anaingia kwa waganga nao wanataka kumzindika akitoka hapo kwa mashekh nk sasa mwamba anataka kutulisha tango pori
 
Kwa chuki ulizojazwa dhidi ya Uislamu huwezi kumhurumia Mwislamu wewe
Nipo naishi na waislam vyema saana. Wala hata sina baya na waislam sema tu kuna baadhi yao wanauzi. Kuna waislam wamenyooka mpka unajua huyu mtu sasa wa dini ila kuna wengine wanaweka njaa mbele. Hata kwa wakristo wapo wenye njaa ambao wanaweka tumbo mbele. Na huwa sina chuki na dini yeyote bali nachukia watu wanao tumia dini vibaya
 
Msimamo wao kwa pamoja umeusikia wapo au wametoa waraka wa kukemea wapi. Kuna shekh alikufa zanzibar umesikia wakikemea japo ni mwenzao aliuliwa mzee kibao ambae ni muislam watu waliopaza sauti sana katika imani n wakristo wakiongozwa na Roman.
usidhani mtu anapouawa basi waislamu hutoa waraka au msimamo,waislamu kupitia shehe wao wakati wa kuzika hutoa hotuba na mara nyingi huwa haizidi dk 5 na walifanya hivyo kwa huyo shehe aliyeuawa,huwa hawapayuki bila kuzingitia misingi ya haki,kuongea bila ushahidi na kuchanganya dini na siasa
 
Mkuu katika haya yanayotokea, yaliyokwisha kutokea nchini sio ya kukemea chooni kwa dini kubwa na yenye wafuasi wengi kama Islam kwa Tanzania. Hii ilipaswa iwe nchi nzima kwenye sala zao iwekwe na ikiwezekana watoe na waraka ila ni hapo wameyumba wakae wajitafakari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom