waislamu huwa hawalaani kwenye magazeti au kwenye vyombo vya habari,kwenye mazishi yake shehe anayepewa fursa ya kuendesha sala huongea hapo na haongei ili kuwapendezesha watu laa,na wewe huwezi kuwalazimishe watoe kauli utakavyo wewe