Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tutawaombea Mungu aweke wepesisawa
Mpaka wanatuma vikojoleo sometimes ndipo wanatumiwa buku 10Mungu awape wepesi, bahati mbaya sana ni matokeo ya kufeli mwanaume.
Ni matokeo ya kufeli wazazi na jamii kwa ujumla. Malezi bora huandaa walezi wazuri wa baadae na misingi mizuri ya kiutamaduni ya kijamii pia huandaa wazazi wema.Mungu awape wepesi, bahati mbaya sana ni matokeo ya kufeli mwanaume.
Fursa zipo kwa wote tu ni wew tu na uchaguzi mim naona shida ya wanawake wengi ni kujiamini mwanamke had afikie maamuzi ya kufanya kitu kawaza miaka 10 mfano saizi kuna wanawake kibabo wanaendesha mabasi malori mfano kwenye mwendokasi saizi wapo wakutosha kuna mwana Mama alikua anaendesha Ndenjela ya Dar mbeya anagonga Gia kama mwanaume Na alikua anafukzana na New force za Tunduma na Tena ni Mrembo kabisa ukimkuta kachamokea shati lake na sketi yake utampenda mwenyeweSingo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya.
Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni kama 20% tu na hizo asilimia 20 zinanyatiwa na wanaume pia.
Sasa hapo singo maza wanataka wajihakikishie Milo 3.
Mtihani unaanza hapo. Ngoja niishie hapo maana ni hatari.
Tuwaombee singo maza
Kwahiyo unadhani ni rahisi tu kupata basi la mtu kulisukuma dar to Mbeya?Fursa zipo kwa wote tu ni wew tu na uchaguzi mim naona shida ya wanawake wengi ni kujiamini mwanamke had afikie maamuzi ya kufanya kitu kawaza miaka 10 mfano saizi kuna wanawake kibabo wanaendesha mabasi malori mfano kwenye mwendokasi saizi wapo wakutosha kuna mwana Mama alikua anaendesha Ndenjela ya Dar mbeya anagonga Gia kama mwanaume Na alikua anafukzana na New force za Tunduma na Tena ni Mrembo kabisa ukimkuta kachamokea shati lake na sketi yake utampenda mwenyewe
Asa ugumu wake Nin mzee kamu upo kwenye Chain ya Watu wa Mabasi na Watu wakaona CV Yako na ufanyayi kazi wako unapewa tu kwani unazani uyo Mama wa Ndenjela alianza tu Kuendesha Basi Au aliamka Tu akapewa Basi kuna sehemu alianzia Tena alikubali kuanzia Chini kabisa watu wengi wanadai alikua Dereva wa IT za Dar Zambia akamia Kwenye Utingo wa mabasi mwisho wa Siku kampuni ikaja kumuamini ikampa Basi.Kwahiyo unadhani ni rahisi tu kupata basi la mtu kulisukuma dar to Mbeya?
Labda fursa za bajaji na bodaboda lakini kwenye mabasi, malori huko huingii kirahisi ndugu.
Asa ugumu wake Nin mzee kamu upo kwenye Chain ya Watu wa Mabasi na Watu wakaona CV Yako na ufanyayi kazi wako unapewa tu kwani unazani uyo Mama wa Ndenjela alianza tu Kuendesha Basi Au aliamka Tu akapewa Basi kuna sehemu alianzia Tena alikubali kuanzia Chini kabisa watu wengi wanadai alikua Dereva wa IT za Dar Zambia akamia Kwenye Utingo wa mabasi mwisho wa Siku kampuni ikaja kumuamini ikampa Basi.
point yangu kubwa kukotelea mfano mama wa Ndenjela ilikua haimanishi watu wawe wanajitolea miaka sjui miwili au mitatu sababu hata huyo mama wakati ni Utingo na Dereva wa IT alikua hafanyi Bure alikua analipwa Pesa kwahyo ata kama alikua ana familia inamtegea alikua anapata chochote kitu cha kuiwezesha familia yake point yangu kubwa ilikua iko apa uwe.mwanamke uwe Mwanaume ukiwa na Focous na consistencency kwenye jambo unalolifanya ni rahisi zaidi kufika mbali na unakoenda kama umeamua kuwa dereva focous na udereva kwanza kama umeamua kuwa mfanyabiashara wa vipozi focous na kuuza vipodozi .Hizo process ni nyingi.
Maisha ya kuanza chini yanawafaa vijana wasiotegemewa. Wanaanza kujitolea mahali, baada ya mwaka mmoja au miwili wanapata kibarua cha muda na baada ya miaka miwili mingine wanapata permanent contract baada ya kajulikana.
Sasa mtu ana familia miaka 2 apoteze hivi hivi?
Kazini kwetu vijana wa Internship wanajitolea bila malipo kwa miezi 6 au hata mwaka baadaye hupewa nauli baadaye hupata mikataba ya ajira.
Inachukua mpaka miaka 3 kupata ajira.
Sasa mtu ana familia ajitolee miaka 2 inawezekana?
Ninawaombea sana hao dada zetusawa
afadhaliNinawaombea sana hao dada zetu