Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya.
Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni kama 20% tu na hizo asilimia 20 zinanyatiwa na wanaume pia.
Sasa hapo singo maza wanataka wajihakikishie Milo 3.
Mtihani unaanza hapo. Ngoja niishie hapo maana ni hatari.
Tuwaombee singo maza