Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mimi hata kabla ya kampeni ya no reforms no election kuanza sijawahi kupiga kura mpaka leo, na nimefikisha miaka 18 uchaguzi wangu wa kwanza ulikua wa mwaka 2010.Hivi jamani kama taifa kweli tunakubali kuongozwa na katiba ya mwaka 1977? unajua hakuna mwaka nimetokea kuwaunga mkono CHADEMA kama mwaka huu,
CHADEMA wana hoja,mtu yeyote mweye akili timamu ni lazima aunge reforms kwa baadhi ya mambo katika nchi hii..Hivi mtu kafeli Form four tangu mwaka 1997 kaja kupata D mbili 2015 anaelewa nini kuhusu mijadala ya International Trade,insurance and banking services,Forex,Stock markets!?
Mara ya kwanza nipo olevel naisoma katiba ya nchi nikajua hakuna uchaguzi hapa ni danganya toto tu