Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Sasa Mpaka Kesho Bunge Lipo KimyaMakosa yakijitokeza yafanyike masahihisho watu waone ili kuondoa utata. Kiongozi kaonekana amegushi taarifa zake za kielimu basi ajitokeze aseme olevel nilisoma hapa mwaka fulani cheti hiki hapa, chuo nilisoma hapa mwaka fulani cheti hiki hapa
Hata Mbunge Yupo Kimya Chenye Mshindo
utajua CCM Kwasasa No Haifai