Katika mazingira haya utafanya nini?

Katika mazingira haya utafanya nini?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya mti mkubwa na kusingizia kidogo kabla ya kuzama kwenye usingizi mzito.
Screenshot_20250228_191621_Lite.jpg


Ulipoamka, ulijikuta upo peke yako, huku jua likionekana kuanza kuzama. Ulipotazama pembeni yako, macho yako yalikutana na maajabu – kulikuwa na chui mmoja aliyejilaza karibu nawe, akiwa amelala pia.

Je utajinasua vipi kutoka kwenye hii changamoto, utaendelea kuuchapa usingizi, ama utaamka na kukimbia?
 
Kama unamsema Namba moja hivi! maana kuna watu wanajifanya wema wako karibu yake na wanamsifia kila siku akistuka tu ameisha
 
Back
Top Bottom