Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Maelezo ya swali hayajakamilika bado, hiyo ni ndoto umeota au ni movie? Kumbuka huyo ni duma (cheetah) na siyo chui wa kawaida (Leopard)
Hilo ni moja lakini la pili ni je kukimbia huko kutachukua umbali gani kufika sehemu salama maana duma hapo ukikurupuka lazima ataduwaa na kukukimbia kidogo lakini akili ikimkaa sawa na wewe uhakikishe umeshafika sehemu salama (kwenye gari, ndani ya nyumba, kwenye watu wengi nk) maana akisema akuunganishie hata uwe ulimwacha umbali wa 1km ni chapu tu atakufikia