Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hii ndiyo salama zaidiHapo njia pekee ni kukurupuka tu na kutimua mbio kama Usain Bolt, na huyo chui ataishia tu kuduwaa na kutoamini kilichotoekea mbele yake.
SahihiKila mnyama anaenda njia yake?!
Hawezi kushtuka usingizini na kuanza kukufukuza. Lazima atabakia kwenye hali mshangao, wakati unazidi kutimua mbio.Kwa mbio za 110 km/hr akiamua kukufukuza unafika wapi?!
Uwe nazo hizo mbio...Hamna kingine zaidi ya kukurupuka🤣🤣🤣😂😂 na kuanza mbio
Hatari sana...Za kumkimbia mwamba mwenye 110 km/hr!?? 😃