Mkuu uko vizuri kwenye kutafakari sentensi za kawaida kuwa maana halisia iliyojificha, kongole kwakoKama unamsema Namba moja hivi maana kuna watu wa akifanya wema wako karibu yake na wanamsifia kila siku akistuka tu ameisha
Ha hahaSubutuu huyo anajua wewe ukiamka lazima uma tie Ndio akushighulikie,
Hapo unapiga yowe anakimbia kwa wenge na wewe unasepa zako
Baba huyo kaweka mtego,anakusubiria uamke Ndio umstue akule,Unanyataje na amekulalia mkono,unamzibua kibao hapo anakimbia na wenge na wewe unamuungia kumkimbiza,atajua hili shetani Au Nini๐๐๐๐ฟHa haha
kweli kila mtu na akili zake
yani dude kama hilo likuache ukiwa unakoroma
halafu uamke kwa kupiga mwano
et ulipe wenge likimbie?!
labda uamke unyate..ukimbie!
Yeye amekuja kwa amani hvy na ww unaenda nae kwa amaniAu sio!? Kwanini usianze na kofi?!
Chafya itatokea wapi hapo?Ukibanwa chafya!??
OK. 1. Kwa kuzingatia kwamba Kila mmoja aliyepo hapo kaja /kafika hapo kwa wakati wake na kivyake. Kwa hiyo ni busara kila mmoja aondoke kwa wakati wake. Aliyetangulia hapo inafaa atangulie pia kuondoka kivyake. Usivuruge Amani uliyoikuta iko baina yenu ulipozinduka usingizini.Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya mti mkubwa na kusingizia kidogo kabla ya kuzama kwenye usingizi mzito.
View attachment 3253472
Ulipoamka, ulijikuta upo peke yako, huku jua likionekana kuanza kuzama. Ulipotazama pembeni yako, macho yako yalikutana na maajabu โ kulikuwa na chui mmoja aliyejilaza karibu nawe, akiwa amelala pia.
Je utajinasua vipi kutoka kwenye hii changamoto, utaendelea kuuchapa usingizi, ama utaamka na kukimbia?
Yep. Sentensi ya pili hapo juu ๐ ๐ ndo imebeba silaha nzito itakayoweza kukuokoa na umauti. Tena vua nguo zako zote umwachie hapo kama zawadi ya kipekee kwa ushirikiano alokuonesha.Chafya itatokea wapi hapo?
Hapo mkojo na mavi ndo vitatoka vyenyewe
Exactly Yes. Usitake kuivuruga Amani uloikuta.Yeye amekuja kwa amani hvy na ww unaenda nae kwa amani
Weweee! Unaanzisha valangati? Hujui hapo ni lazima atajitetea? -acha hiyo. Jaribu njia nyengine. Eti unamzibua kibao.!? Una upata wapi ujasiri huo broo?Baba huyo kaweka mtego,anakusubiria uamke Ndio umstue akule,Unanyataje na amekulalia mkono,unamzibua kibao hapo anakimbia na wenge na wewe unamuungia kumkimbiza,atajua hili shetani Au Nini๐๐๐๐ฟ
Nimecheka sanaOK. 1. Kwa kuzingatia kwamba Kila mmoja aliyepo hapo kaja /kafika hapo kwa wakati wake na kivyake. Kwa hiyo ni busara kila mmoja aondoke kwa wakati wake. Aliyetangulia hapo inafaa atangulie pia kuondoka kivyake. Usivuruge Amani uliyoikuta iko baina yenu ulipozinduka usingizini.
2. Kwa Mkristo, esp.Wakatoliki; unashusha pumzi kidogo (take a bit of a Sigh) halafu unapiga ishara ya msalaba kisha unasema: Utubariki Mungu wetu sisi na Chakula hiki ulichotupa kwa huruma na upendo wako ili tukile tupate afya na nguvu ya kukutumikia vema- Amina. Kwa Mwislamu ni rahisi zaidi kwani yy atasema tu: Bismillah. Hapo hakuna cha eti Takbiiir-Allahu akbar. Usijaribu hiyo.
3. Huyo mtu anaweza kudhuriwa au kupewa adhabu ya kuliwa kwa kumvurugia huyo mwamba starehe yake ya usingizi. Si mnajua wanyama aina ya paka hupenda sana kulala mahali penye kajoto fulani amazing na ulaini kidogo e.g. sofa/kochi? Kwa hiyo huyo binadamu asubiri ajikaushe hivyo hadi chui aamke i.e. Usingizi wake uishe na akiondoka kuendelea na mishe zake ndipo binadamu naye aamke na aendelee na mishe zake.
4. Chui kama ameshiba na hana watoto atakuwa hana / hakuna sababu ya kukushambulia. Take ur time sepa ila usikurupuke au kumshtua chui. Ili usimshtue ;Fanya hiv: Vua nguo zako zote taratibu halafu umwachie amezilalia we uondoke zako. Very simple etiee. Nguo nyingine utazikuta mbele ya safari bro.
5. (Hii ni Mujarabu sana). 'Kata gogo" la Uhakika, kisha jipake mwili wote na ujindokee kiulaiiin. Wanyama wote jamii ya paka hawalagi kitu kichafu tena chenye harufu tofauti na uzoefu wao. i.e. ww ni najisi kwao-hawakugusi wasije wakanajisika.
Atavuna atakachokipanda hapo. Hilo dude sio la kufanyia masikhara kama kula lile tunda.Fujo huyo si ndo anapenda!
Ukimzibua kibao anapata wenge nakuambia,sasa unamuamshaje hapo na kakulalia mkono,utamwambia chui amka niondoke๐.Weweee! Unaanzisha valangati? Hujui hapo ni lazima atajitetea? -acha hiyo. Jaribu njia nyengine. Eti unamzibua kibao.!? Una upata wapi ujasiri huo broo?
Nyumbu mpo tabuni aisee!! Mbona mumeo anakurudishia maua na kukuwao Kila siku lkn tunajua kuwa anatoka na Kapeace? Uzuri mmoya (in bakongo's voice), mabaya ukiyawaza na kutamani saaaana yatokee kwa mwenzio bs Mungu (alivyo mkuu) anayarudisha kwako mwenyeweKama unamsema Namba moja hivi! maana kuna watu wanajifanya wema wako karibu yake na wanamsifia kila siku akistuka tu ameisha