Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Kweli vijana mna matitizo yani haya maneno unathubutu kukwambia baba yako.Bwashee wewe mzazi wako alitakiwa apige nyeto😆
Kweli vijana mna matitizo yani haya maneno unathubutu kukwambia baba yako.Bwashee wewe mzazi wako alitakiwa apige nyeto😆
Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka.
Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka.
Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
Sio powa unachokifanya hyo picha hapo ni ya dada jina lake linaanzia T.Mimi mwenyewe napitia msoto vilevileView attachment 3658925
Hivi haiwezekani kuwasilisha ujumbe ama hoja bila kuambatanisha na lugha isiyo na staha?Ukikosa hela kwenye sirikali hii ya wagaikoko , tambua wewe ni kiazi Mbwa takataka.
Yani mzazi wako alitakiwa avae kondom usizaliwe kabisa, takataka na mpumbavu kama wewe ,gademitt.
Kweli kabisa, hii mbungi Haina refa ni kucheza na panga mkononi.Vyote kwa pamoja
Picha nliiona insta hii, jitu la kale limetokelezea
Bwashee kwani nimesema vibaya? Nipate tu usaidizi kwa sababu nimelewa mno😅
Bwashee wewe una akili kubwaUpo sahihi kwa asilimia 90%
Awamu hii ni ya ujanja ujanja.
Pesa zimemwagwa sana huko mitaani.
Serikali imeacha watu na vijana wafanye watakavyoweza.
Inahitaji tuu wazo na uthubutu. Basi.
Ukijiingiza kwenye siasa, dini na mamipira kuna mifumo mingine unaweza kutokuiona.
Hii Serikali ni kila mtu ale Kea urefu wa kamba yake. Hilo Rais alishasema. So ni mwendo wa kujipimia. Hakuna wa kukupimia.
Huku mitaani watu wanashusha majengo, wanabadilisha na kuboresha nyumba zao.
Wageni huko Upanga, Oysterbay, Kate, Mbweni n.k ni wengi. Real estate wanajipigia pesa vibaya sana. Yaani