Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wapare kama wapare , kesi ya vipapatio vya kuku mnafuatilia , Pumbavu zenu😆
Together tunawakilishaaa!!!!Bwashee pesa mbona bado ipo?
Mimi mwenyewe napitia msoto vilevileView attachment 3658925
Nakubali mkuu😀
Nimeifananisha tu na hio picha ya Red Black...Bwashee hapo inAmaanisha nini?
Wenzetu mlioko kwenye njia ya mirija ya upigaji hua mkitucheki sisi mnatuona kama matako yenu
Aaaah sitaki shindii🙆♂️Shindii wangu nakupenda wewe tu🤣 msalimie mashirima
Isije ikawa jamaa amepata jeraha baada ya kunusurika kufumaniwa na mke wa mtu 😂View attachment 3658991
Miradi ni mingi changamka kijana😎
Naomba uniweke kwenye njia uliopo wwBwashee sipo hiyo njia😁
Kama kawaida yenu vijana chipukizi😁Isije ikawa jamaa amepata jeraha baada ya kunusurika kufumaniwa na mke wa mtu 😂
Abeee!Unanichukia sana shindi?
Tako limebenuka ghafla utadhan chunusi, muinuko wa tako linatakiwa lianzie kwenye mapaja kupanda had kiunoniKama kawaida yenu vijana chipukizi😁View attachment 3658995