SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

Tanzania Tuitakayo competition threads

G5bajuta

New Member
Joined
May 23, 2024
Posts
2
Reaction score
0
KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;-

1.
Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo kwamba maendeleo yataongezeka kulingana na utendaji kati na hamasa ya jamii kwa ujumla lakini katika mazingira hayo lazima kuzingatia maboresho ya sehemu na secta nyeti ili kukuza na kudumisha maendeleo ya taifa hizo sekta ni kama ya elimu,kilimo,michezo,afya,na miundo mbinu.nk hivyo ni muhimu kutambua mahitaji ya jamii na taifa kwa ujumla naona ni bora mara mia watu wapate elimu bure lakini ajira cyo lazima serikalini maana kuna ubaguzi upande wa serikali na jamii fulani wa hali ya chini maana unakuta serikali inaweka vigezo ambayo mtu wa hali ya chini kufuatilia inakuwa ngumu ko serikali iangalie swala la elimu kwa asilimia 100%.

2. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ya tanzania tunayoitaka ni kwamba kila mtu awe na kazi mimi kwa mtazamo wangu naona ni bora sheria zingine zifanyiwe marekebisho kwani kuna hali fulani ya kutatanisha upande wa utoaji ajira naweza kusema kwamba serikali iangalie namna bora na haki katika utaaji ajira ikiwa ni kuzingatia miaka ya ufanyaji kazi na siyo miaka ya umri wa kustaafu kazi namaanisha mfano ajira iwe miaka 5 tu kwa kila mwajiri baada ya hapo watu wapya waajiriwe ikiwa wamepishana miaka kwani pia kila mtanzania atapata nafasi ya kuitimikia nchi kwa pamoja kwa kuzingatia ubora na uweledi kuliko kuwa na wasomi wengi sana na wapo mtaani hawana kazi maana hata mtaji kutafuta ni swala ngumu pia hivyo itafanya kupunguza idadi ya watu wasiokuwa na ajira na tutapiga hatua mbele katika uchumi wa nchi.

3. Napenda kuangalia upande wa rushwa ni kwamba rushwa inatawala sana kwa sahivi hata kama kuna upungufu uapande mmoja moja naona serikali ni vema iweke sheria kali na kuzingatiwa katika kupokea na kutoa rushwa,ni haki kuzingatia vigezo na masharti kuliko kupita shortcut hivyo naitazama nchi yangu kuweka sheria kali na ulinzi mkali katika ulaji rushwa kama nchi ya capeverde imeweza kwanini tusiige kutoka kwao hata kama ni sheria ya kufa ilmradi rushwa itokomezwe au kifungo cha maisha laikini zaidi ya hiyo adabu vigezo na mashrti vizingatiwe kuliko kitu chochote kinyume na hapo taasisi husika inatakiwa kufanya maamuzi kwa mda mfupi na haraka ili kupata tija maana utekelezaji wa mda mrefu inafanya kuficha mambo na kuficha ukweli.

YANGU NI HAYO TU KIUKWELI IKIZINGATIWA TUTAONA TANZANIA YA TOFAUTI NA YENYE MAENDELEA , HIYO NI WAZO LANGU LAIKI NI VEMA KIBORESHA ZAIDI NA KIWEKWE SAWA ILI KILETE TIJA KWA KILA RAIA WA TANZANIA.
"THANK YOU JAMII FORUMS"
 
Upvote 3
Back
Top Bottom