Katika michezo 32 aliyocheza Bigirimana akiwa Newcastle alifunga goli 1

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220709_21182252218.jpg

Kwa uchache saana
 
Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
 
Polepole ndugu.Ukasirikaji ni wa malaika mtoa roho.Weye yakupatani?
 
Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
Hersi katupiga mkimbizi wa kihutu anaongea kiswahili
 
Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
punguza hasira Uto,soka halihitaji hasira utabast
 
Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
Trent wa liver nafasi yake uwanjani ni ipi na ana magoli mangapi?
 
Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
Mwambie mheshimiwa hakimu kama mido bamia lina assists 00 mechi 32 🤣🤣🤣🤣
 
Njoo na takwimu za takles alizofanya, blocks alizofanya, uwezo wake wa kuzuia mashambulizi ukoje, tunaweza kukuelewa kwa hilo na sio kurukia vitu usivyovijua ukiwa na lengo la kupotosha watu hapa, unataka magoli umeambiwa uyo ni mayele au makambo muda wote yuko kwenye eneo la ushambuliaji la timu pinzani? Tatizo lenu nyie makolo yule rage kuwaita mbumbumbu kuna kitu alikiona kwasababu mambo mengine sio mpaka utumie akili kubwa kuyafahamu
 
Back
Top Bottom