Acha ujinga wewe tokea msimu huu uanze Feisal asilimia 95 ya mechi amecheza Kama namba 10, mechi chache Sana kacheza Kama namba 6 na iyo ni Kama bangala na mauya awapo au wamepata dharura, kwaiyo tafuta reference nyingine na sio iyo, alafu aliyekwambia yanga imemsajili bigirimana kama mfungaji ni nani? Yule ni kiungo mkabaji habari za kufunga wapo wanaofanya iyo kazi akifunga sawa na asipofunga sio jukumu lake ilo sisi tunachotaka kuona ni anayafanya vipi majukumu yake kwrnye eneo la ulinzi baaasi ayo mengine ni ya kwenu