Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Pogba kwao ni Ulaya au unjisahaulisha? Unadhani akiamua kurudi nyumbani Pogba atarudi Afrika? Kwao ni Ufaransa na hata hafikirii huku Swekeni.mikaa 28 kijana kukaa ulaya kwenye hali nzuri kifedha hapendi,anaona bora kuja mashariki mwa africa ndipo anapoona kuna hali nzuri kifedha kuliko uko ulaya alikokuwa anacheza......Pogba anamiaka 29 bado anakaza tu kuzunguka vilabu vya ulaya ila mburundi uyo karidhika kweli kuja kwetu Tanzania